MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 988
- 1,523
Nikikosa bundle nikakosa kuingia huku huwa najihisi kuna kitu muhimu nmekosa had I nakosa raha.
Nimecheka sana baada ya kusoma majibizano ya betting kwny post hapo juu.
Kila mmoja anamisimamo yake anayoamini ila toka juzi nikikuwa nataka kuuliza kuhusu yule jamaa aliyemiliki kadi ya UBA prepaid kwa ajili ya kumpiga kanji nikchallenge kwa kumwambia kuwa betting in zaidi ya ujuavyo na udhaniavyo hiko ndio kikichotokea katika conversation zenu za betting juu ya imani na misimamo ya betting.