Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
saana tuNasikia Cheltako kazingua...
Mamamamamae wallah!Asubuh account ilikuwa inasoma 160k saiv inasoma 0
Huko hapafai bobu!Aisee
Direct win bana
Lampard mlango alioingilia soon atatokea
Haha. Ndo usali wasitoke drooHv ushawahi kutoa pesa au kupoteza pesa kwa makusudi bila kulazimishwa?
Ndo kilichonitokea mm maana baada ya jana kupokea kipigo cha mbwa koko usiku nilitumia masaa kadhaa kupitia game za Amerika ya mbali huko zile za usiku ss sikupenda niweke game zitakazozidi usiku wa kuamkia leo but bahati mbaya kumbe nimeweka game mbili moja ya Mexico na nyingine ya Venezuela na kupata ODDS 9.5+Nikatia 10K ss naamka nakuta mkeka bado uko hai na game mbili zitachezwa leo sasa moja imepigwa imetoa freshi na moja inaanza saa tano Atletico Venezuela nilimpa direct win.
Sasa nimelazimika kumpa hela tu Kanji kwa kumpa mgeni wa Atletico Venezuela DC nimemaliza hela yote kwa akaunti yaani 12K so uamuzi ni wake Kanji atoe 95K au atoe 25K.
Hii kazi ni pasua kichwa aisee hapana mchezo kabisa.
Inabidi tuulizie kwa wataalamu wa afya hv haiwezi kutuletea madhara huko uzeeni kwa hizi pressure inazotupa???????????
hicho huwa nafanya sana inapobaki game moja.😄😄Hv ushawahi kutoa pesa au kupoteza pesa kwa makusudi bila kulazimishwa?
Ndo kilichonitokea mm maana baada ya jana kupokea kipigo cha mbwa koko usiku nilitumia masaa kadhaa kupitia game za Amerika ya mbali huko zile za usiku ss sikupenda niweke game zitakazozidi usiku wa kuamkia leo but bahati mbaya kumbe nimeweka game mbili moja ya Mexico na nyingine ya Venezuela na kupata ODDS 9.5+Nikatia 10K ss naamka nakuta mkeka bado uko hai na game mbili zitachezwa leo sasa moja imepigwa imetoa freshi na moja inaanza saa tano Atletico Venezuela nilimpa direct win.
Sasa nimelazimika kumpa hela tu Kanji kwa kumpa mgeni wa Atletico Venezuela DC nimemaliza hela yote kwa akaunti yaani 12K so uamuzi ni wake Kanji atoe 95K au atoe 25K.
Hii kazi ni pasua kichwa aisee hapana mchezo kabisa.
Inabidi tuulizie kwa wataalamu wa afya hv haiwezi kutuletea madhara huko uzeeni kwa hizi pressure inazotupa???????????
| Rennes | 2 - 1 | Paris SG |
Hv ushawahi kutoa pesa au kupoteza pesa kwa makusudi bila kulazimishwa?
Ndo kilichonitokea mm maana baada ya jana kupokea kipigo cha mbwa koko usiku nilitumia masaa kadhaa kupitia game za Amerika ya mbali huko zile za usiku ss sikupenda niweke game zitakazozidi usiku wa kuamkia leo but bahati mbaya kumbe nimeweka game mbili moja ya Mexico na nyingine ya Venezuela na kupata ODDS 9.5+Nikatia 10K ss naamka nakuta mkeka bado uko hai na game mbili zitachezwa leo sasa moja imepigwa imetoa freshi na moja inaanza saa tano Atletico Venezuela nilimpa direct win.
Sasa nimelazimika kumpa hela tu Kanji kwa kumpa mgeni wa Atletico Venezuela DC nimemaliza hela yote kwa akaunti yaani 12K so uamuzi ni wake Kanji atoe 95K au atoe 25K.
Hii kazi ni pasua kichwa aisee hapana mchezo kabisa.
Inabidi tuulizie kwa wataalamu wa afya hv haiwezi kutuletea madhara huko uzeeni kwa hizi pressure inazotupa???????????
| Atl. Venezuela | 0 - 1 | Llaneros |
Wakitoka droo nimekula 25 maana nimempa double chanceHaha. Ndo usali wasitoke droo
Hahahaha hatari sana kiongozi.Nahisi hz pressure inabidi tuzifanyie utafiti isije kuwa zinatupanua unene wa mishipa ya damu uzeeni tukawa wehu
Atl. Venezuela 0 - 1 Llaneros
Imebidi nami nifanye tu baada ya kupoteza hela mara nyingi hadi kukosa kifuta jashohicho huwa nafanya sana inapobaki game moja.[emoji1][emoji1]
Wengi tunaobet si rahisi kuacha kuzipa win hizo team, hivyo makampuni ya kamari yanafanya biashara kubwa sana endapo baadhi ya hizo team zikipoteza point katika game zao.kwann ziwe fixed
Sio mbaya utakuwa umetengeneza faida ya sh 3000Wakitoka droo nimekula 25 maana nimempa double chance
Dah mkuu 12,000 ukapata 25,000 unakuwa umepata faida ya 3000???Sio mbaya utakuwa umetengeneza faida ya sh 3000
Getafe kala red.. Na atletico kala 2yelowsGame ya psg weka draw utulize maumivu odds kibao
Kwa nn unakuta mtu anangangana na direct win wkt kuna option inaweza kua sawa na point au zaidi ya win husika!! Hapo ndipo wengi tunafeliMechi za usiku america ya kusini huko, USA na madaraja ya chini ulaya ni safe sana na rate ya kupoteza ni ndogo. Huko ukichambua brain iko huru kung'amua pa kuweka mzigo.
Ligi kubwa akicheza Liverpool na Burnley tayari unakuwa na jibu mkononi kwamba hapa ni Liverpool kushinda ama kuwe na 2+ na ndipo kanji anakung'uta ipasavyo. Mbaya zaidi unakuwa umeweka mikeka kadhaa mechi ya hivi.
Mara nyingi napoteza mechi za weekend ligi kubwa ulaya, jana zenit, juzi barcelona, galatasaray leo alkmaar midtyland ila pesa kiasi kikubwa na recover na mechi za usiku mnene zile ambazo maamuzi ya niweke option ipi nayafanya baada ya kuangalia h2h.