Yeah mpambano hauishi hapa tena ndo hasira zinaanza zaidi.....
Hii inaitwa Motivation
Naweka jet fighter yangu wese..sema ujue ni nini umeme nao tabu...
Huu mgao wa umeme unanifanya nisjindwe hata kufuatilia chochote...
Yeah mpambano hauishi hapa tena ndo hasira zinaanza zaidi.....
Hii inaitwa Motivation
Chelsea bana mi hata siwaelewi, wachezaji hawamtaki Morinho ndo maana wanafanya hayo wanayofanya leo... ni kama kipindi kile cha AVB walimfanyia hivyo pia na akaondoka....
Eva kaongeza ukakasi zaidi.
Hehehe we cute b
Ngoja niitafute niifute maana naweza.........
Tuanze business ukweli kweli
Hata mimi naona kitu hicho kwa Chelsea, afu Mourinho ameacha zile amsha amsha zake siku hizi. Inabidi tupumzike kumcheza Chelsea mkuu.
Naweka jet fighter yangu wese..sema ujue ni nini umeme nao tabu...
Huu mgao wa umeme unanifanya nisjindwe hata kufuatilia chochote...
Hata mimi naona kitu hicho kwa Chelsea, afu Mourinho ameacha zile amsha amsha zake siku hizi. Inabidi tupumzike kumcheza Chelsea mkuu.
Mbona mie sijawahi katwa kodi, meridian ni kama vile hawatukati kodi sisi wa zamani...
Online bado hawajaanza kukata, ila kwenye betshop panga kama kawaida.
Mkeka ulitiki jmosi jana nkaangaikia mpka wakanipa m5 zangu.....kumbe kule makao makuu hawatoi pesa.....nlianzia kwenda kule wakaniambia nenda tu kwenye betting shops wakupe hela yako...ukienda betting shops wanapiga tu simu wanaconfirm kisha unapewa mpunga wakoooo...saaafe kbisaa
Sure kila kitu kinawezekana...mzigo huo hapo...jna nimelala nao chini ya mto....
Mabibi na bwana jana nmemchinja mhindi m5....thnks kwa wadau wrote jmaniii@avogrado@mtoto wa nzi Root Raimundo..mhindi kma mchawi sjui nini kilinifanya nisiushee huu na wengineovwengii mkeka kwa kuamini kwamba ningekoseakosea...inawezekna kumpiga mhindi m5..avogrado tuendelezee mapambano mikeka mirefu...wa buku umeshinda wakati mingi ya msimbazi msmbazi ilibuma
Ila hiyo style ya makabidhiano ya pesa sio salama kabisa mkuu, hawakua na option ya cheque mkuu.
hongera sana mkuu umenipa hamasa weekend hii ntafanaya kama wewe ntaweka buku 5000 tu.Option nyingine ni kwa njia ya mpesa....sasa mpesa unaipata baada ya masaa 24...na meridian mpesa inazinguaga kichizi utaisubiria hela we inashindikana...nliwai toaga laki tu ikakaa siku tatu ikarudi kwenye account ukiwapigia mizinguo mingi...wanakuficha vizuri tu unahesabu zako afu unaondoka nao mkwanja bila mtu yeyote wa nje kujua...nje nlikua nshaipaki gari standby nimetoka tu nduki + ilikua jpili kwaio hmna foleni.....
Ila hiyo style ya makabidhiano ya pesa sio salama kabisa mkuu, hawakua na option ya cheque mkuu.
Option nyingine ni kwa njia ya mpesa....sasa mpesa unaipata baada ya masaa 24...na meridian mpesa inazinguaga kichizi utaisubiria hela we inashindikana...nliwai toaga laki tu ikakaa siku tatu ikarudi kwenye account ukiwapigia mizinguo mingi...wanakuficha vizuri tu unahesabu zako afu unaondoka nao mkwanja bila mtu yeyote wa nje kujua...nje nlikua nshaipaki gari standby nimetoka tu nduki + ilikua jpili kwaio hmna foleni.....
Betshop nyingi ziko jirani na M-Pesa na Tigo Pesa, kitu kingine unaweza kufanya ni kutoka shop na kwenda kuweka kwenye M-Pesa na Tigo-Pesa kama 4m, unabaki na hela ndogo tu.
Pesa ina harufu mkuu, unaweza kushangaa watu wamekutengenezea ajali kumbe wanaitafuta hiyo pesa, betshops mateja wengi.
Sure well noted....hiyo ya kuitoa na kuiweka mpesa idea nzuri sna...na ni kweli nyingi zipo karibu na mpesa na tigo pesa....
Kama pale Shoppers unashuka nazo unaingia shoppers unaweka mpesa unasepa, ila wajinga wanaweza chukua line na kukulazimisha uwape...
Afu ntakua nachkulia ile ya shoppers ikitokea ikatiki bingo....naona huko ni safe zaidi