Niliishia mechi 10
Siku ambayo wanashinda wengi kama ukichunguza vizuri kwenye matokeo, sare katika mechi zinakua chacheLuna
Naamini MBET JACPOT wanapanga washindi. Nishapiga mechi kumi na mechi Tisa Mara nyingi ila kila nikiwa mmojawao ujue Siku hyo wa mechi hizo lazima wawe wengi mgao unakuwa elfu 4...ukienda sana elfu15. Nikawaza na kujiuliza sana kwanini kama siku wakishinda wengine wanagawana laki 6 haddi 8 siku nikishinda mgao n bukubuku. Jibu nilililopata mpaka Leo hakuna MTU wa kuliondoa kuwa m bet n kiini macho jackpot yake.
hahaaa, kwa lugha nyepesi ni matapeli wa mjini! hatari sana.. wako wapi wenye kampuni zao watudhibitishie hili.Luna
Naamini MBET JACPOT wanapanga washindi. Nishapiga mechi kumi na mechi Tisa Mara nyingi ila kila nikiwa mmojawao ujue Siku hyo wa mechi hizo lazima wawe wengi mgao unakuwa elfu 4...ukienda sana elfu15. Nikawaza na kujiuliza sana kwanini kama siku wakishinda wengine wanagawana laki 6 haddi 8 siku nikishinda mgao n bukubuku. Jibu nilililopata mpaka Leo hakuna MTU wa kuliondoa kuwa m bet n kiini macho jackpot yake.
bsq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatarUkisikia bao huko uniambie[emoji23][emoji23][emoji23]
M bet wezi kwa mtazamo wanguhahaaa, kwa lugha nyepesi ni matapeli wa mjini! hatari sana.. wako wapi wenye kampuni zao watudhibitishie hili.
nin mkuuMaritimo ooooh oooh oooh oooh.
iwe hivyo kama unavyoaminWakuu me nimevunja kibubu pesa yote nimempa man u aizalishe dua zenu muhim hasa katika kipindi hiki kigumu [emoji41][emoji41]
Man utd anashinda Mkuu usiwe na shaka tupo pamoja... Mimi nimempa man u over 1.5 odd 2.5Wakuu me nimevunja kibubu pesa yote nimempa man u aizalishe dua zenu muhim hasa katika kipindi hiki kigumu [emoji41][emoji41]
amenRashford martial nipigien goli mbili tuu nimetaman hii odd ya 2.5 nimewadhamin kwa laki moja jamanii
Hahahaha wacha tusubiriMan utd anashinda Mkuu usiwe na shaka tupo pamoja... Mimi nimempa man u over 1.5 odd 2.5
Wakishinda na mimi nimeshinda Mara mbiliMan utd anashinda Mkuu usiwe na shaka tupo pamoja... Mimi nimempa man u over 1.5 odd 2.5
Best wishes.View attachment 1185403
Booking Codes:
1. Parimatch: 30918
2. 1Xbet: VUFQ4
3. GalSports: B22746
4. PlayMaster: S7592
Big up!Best wishes.