Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1566381627469.png
 
Hakuna raha, kama kubet magoli ligi za AUSTRALIA, IRELAND na FINLAND yaan unaweka over 2.5, afu kipind cha kwanza tu unakuta matatu tayari,,basi unacheeeeeekaaaaa, Afu Kumbe wakati huo kuna raia bd wamekomaa na direct win tena England, kweli Betting is not for every one. Ila kuna mtu humu ni waya kwa kanji,,BASIASI...Hahaha
 
Kila mtu akomae na option yake mkuu provided sio stake yako inaliwa hata huko kwenye magoli kuna lost za kutosha tu
 
Back
Top Bottom