BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,011
SOMAA.MHAMALAAAAA3+ ODDS
HOMBURG WIN
DERBY GG
MAXB
CONGS
SOMAA.MHAMALAAAAA3+ ODDS
HOMBURG WIN
DERBY GG
MAXB
Hao washazoea. Sio breaking news.Derby na Ajax kwa wazee wa direct hali si shwari hata kidgo",..
Ipswich vs Wimbledon , home tem 2+ naona ina odds 1.68 ngoja niweke mzigo wastani na Ipswich yuko vizuri front hawez kukosa kupata goli 2 !!!!
Ni afadhali umekuwa mkweli maana hata demu wako huwa ananiambia .Watu wengine bhana.. Unaulizia mabadiliko hasi au chanya? Mimi ni mkweli ila ukitaka ukweli wa asilimia mia, nenda kamuulize demu wako.
Anafanya vizuri.. Hongera!Ni afadhali umekuwa mkweli maana hata demu wako huwa ananiambia .
Mkuu ajax toka awatoe wale wachezaji wake anasua sua sana hata kwenye ligi hayuko kama msimu uliopitaAjax Ajax Ajax
Yaani kwenye kamkeka kangu nilisita sana kumweka ila nikajikuta nishamweka. Sijui tunakwama wapi!Mkuu ajax toka awatoe wale wachezaji wake anasua sua sana hata kwenye ligi hayuko kama msimu uliopita
Kuna moja hiyo nimeweka 5M niko natetemeka hapa
Mkuu kuna treni bado lipo kwa njia linaendelea na safari?Yani Ajax na mwenziwe sijui kwann nilisita kuwaweka kbs. Nikasema naambaa na over 0.5 tu. Nilipoikosa nikaachana nayo, nikabeba ya Cluj na Brugge...
Ulitaka kuuliza anayetumia au kudeposit?Naombeni anayetumia card kwenye 1xbet
Mkuu nashukuru nimefanikiwa kujiunga PARIMATCH ila napata shida ktk kuchagua mechi za leo tu. Naona napata mechi za mbele na sina uzoefu wa kuchambua nipate mechi za leo tu. Msaada tutani.Password inatakiwa iwe na herufi kubwa ndogo na namba.. Na zisipungue 8...mfano; Mjina2019