Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Itaneni tenaaaa niwape points nyingine za bureee. Mie naweka 1M
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu siku naamua kufuata tips za Proffesor ndipo alianza kupoteza vibaya na hakuna mkeka hata mmoja ulio win.Watu wana gundu humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Proffesor kaona bora kufanya hustle zake kimya kimya
Hongera sana
Huwa unalala na nani?[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu siku naamua kufuata tips za Proffesor ndipo alianza kupoteza vibaya na hakuna mkeka hata mmoja ulio win.
Nimeacha kukopi mikeka ya watu, hilo gundu ni langu. Nina madhambi mengi nikikopi mkeka wako ujue tunalala na viatu.
Nalala mwenyewe, ila siku jamaa anaanza kupoteza mikeka yake ndipo nami nilianza kumfuatilia. Aliweka mikeka zaidi ya 3 ila ikapotea.Huwa unalala na nani?
Umeoa?mchukuwe mwenzi wako mkaoge baharini.
Share basi tule woteNalala mwenyewe, ila siku jamaa anaanza kupoteza mikeka yake ndipo nami nilianza kumfuatilia. Aliweka mikeka zaidi ya 3 ila ikapotea.
Kwa sasa nimejikita ndani naanda yangu mwenyewe, sitaki kuharibia watu.
Odds ngapi unataka?Share basi tule wote
Nataka kuweka 50000 nina shida na lk mbili chapuOdds ngapi unataka?
Hao digidigi nimewakimbia.Hawa mikwundwu Premierbet leo hawajaweka timu za championship, league 1 an league 2 badala yake wanakuja kutuwekea mimechi ya mchangani😳🙄🙄😳
Yaani hawa wasengerema nitawakimbia very soon, manina zao!!!
Wakuu hivi hakuna kampuni nyingine zaidi ya Meridian (nao ni mikwundwu tu) inayojitambua hapa nchini nihamie kwao?
Msaada tafadhali.
View attachment 1186156
Nakupa muda si mrefu.. Kila la kheri mkuu.4 tu
Nataka kuweka 50000 nina shida na lk mbili chapu
Hawa mikwundwu Premierbet leo hawajaweka timu za championship, league 1 an league 2 badala yake wanakuja kutuwekea mimechi ya mchangani😳🙄🙄😳
Yaani hawa wasengerema nitawakimbia very soon, manina zao!!!
Wakuu hivi hakuna kampuni nyingine zaidi ya Meridian (nao ni mikwundwu tu) inayojitambua hapa nchini nihamie kwao?
Msaada tafadhali.
View attachment 1186156
Yaani hawa kwuma sijui wanakwama wapi. tangu msimu huu uwaze wanaficha mechi nyingi tu. Umekimbilia wapi mkuu? Nilikimbilia Meridian kumbe nao qumer tu!!!Hao digidigi nimewakimbia.
Meridian ni K grade one. Kwa sasa natumia Parimatch....Yaani hawa kwuma sijui wanakwama wapi. tangu msimu huu uwaze wanaficha mechi nyingi tu. Umekimbilia wapi mkuu? Nilikimbilia Meridian kumbe nao qumer tu!!!
Asante sana mkuu. Una-deposit dola au shilingi? Hawakati hela wakati wa ku-deposit? Je, hawana matata kwenye withdraw?Mkuu
Kampuni ya parimatch iko njema sana. Mechi moja utakuta ina option karibu 200. Wanaweka games zote. Hutokaa ujutie... Ingia parimatch.co.tz
Asante mkuu. Ngoja nijaribu kufungua akaunti na prematch. Hawa Premier wamekuwa mikwundu sana.Meridian ni K grade one. Kwa sasa natumia Parimatch....