Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Good luck Buda.Asante sana mkuu, najiunga leo leo. Hawa Premier ndio nimeachana nao milele leo.
Good luck Buda.Asante sana mkuu, najiunga leo leo. Hawa Premier ndio nimeachana nao milele leo.
Kila la kheri Mjina MrefuNgoja nisake mkuu
Samahni mkuu mbona kila password ninayoweka naambiwa nimekosea? Kwani password inatakiwa iweje?Good luck Buda.
Angalia kama zimeoana mkuu. Hizo mashine hazisemi uongo.Samahni mkuu mbona kila password ninayoweka naambiwa nimekosea? Kwani password inatakiwa iweje?
View attachment 1186207
Narakiwa nichanganyeje hizi namba? Au hazitaki mtu ukopy and paste? Ngoja nijaribu mkuu.Angalia kama zimeoana mkuu. Hizo mashine hazisemi uongo.
Usikopi na kupaste kila kisanduku andika 'manual'Narakiwa nichanganyeje hizi namba? Au hazitaki mtu ukopy and paste? Ngoja nijaribu mkuu.
Pamoja sana mkuu.Usikopi na kupaste kila kisanduku andika 'manual'
Ukishindwa sehemu uliza.Pamoja sana mkuu.
sawa mkuuUkishindwa sehemu ukiza.
Ushauri gani mkuuLeo nimeiufa ushauri wa BASIASI Nategemea kupata 2M by tommorow
Kwamba nimefollow baadhi ya timu zakeUshauri gani mkuu
Nadhani umekamilisha.sawa mkuu
Mkuu sikuonagi humu... [emoji848]Roho ngumu huwa inanisaidia sometimesView attachment 1186234