Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa mkuu,ngoja niwaendee,shukran sana.
Wanayo Mkuu... Hawa Jamaa tangu nijiunge nao nawapiga tu, kifupi wako vizuri...ukicheza magoli mfano 2+ first half tu yakipatikana tu wanakuwekea pesa yako..!!
 
Mkuu nakushukuru sana kwa maelekezo mujarabu. Hatimaye nimefanikiwa kujiunga kwenye mtandao pendwa wa PariMatch. Nimeachana rasmi na mikwundwu ya Premierbet.
Karibu nyumbani. Kuanzia huduma kwa wateja wako vyema na wanapokea muda huo huo.
 
Double chance
 

Attachments

  • Screenshot_20190820-200515.png
    Screenshot_20190820-200515.png
    19.2 KB · Views: 36
Nilikuwa naona Professa akiweka humu mikeka yake, siku moja nami nikasema acha nijiunge Meridian nipige pesa kupitia nyota yake.

Akaweka mkeka wa kwanza nikakopi na kupaste, mwisho wa matokeo ikawa ndo hivyo tumepoteza. Nikapiga moyo konde nikaweka tena mwingine alioweka pia ikawa ndo hivyo.

Akakaa kama siku mbili hajaweka mkeka, siku alipoweka nikaruka nao ila wapi ni mwendo wa kupigwa tu. Mwisho nikasema acha nifanye yangu. Nikaanza kubet mwenyewe kwa mawazo yangu nikawa nakula muda mwingine napigwa.

Jana nimekaa na kusaka pointi 15 na zikawin, leo nisaka 22 najua zitawin.

Kwa sasa hata nione humu fixed match siwezi kukopi nitakomaa na akili yangu.

Na wewe unayeleta humu mkeka omba nisiukopi [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Punguza spidi mkuu! Usiingeze odds kana kwamba ni gia za lori (tena manual). Kila la heri; usije sema nimekuchawia bure.
 
*PHOBIA*🥇

*OBSERVATION IS ALLOWED🚶🏻*

*Z59LG6N3* *8pm*

Apoel Nicosia FC - Ajax
Over HT(1.5)

*2.35odds*

*🙏OLUWA BLESS US🙏*
 
Back
Top Bottom