BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,011
BOOOOOOOOOOOOOMZULTE
GG& OV2.5
2.00 ODDS
MAXB
BOOOOOOOOOOOOOMZULTE
GG& OV2.5
2.00 ODDS
MAXB
Hii kitu hata mimi naiona sana kwanguProfessa alikuwa aki share mkeka analiwa asipo share anakula kuna sijui ni gundu za watu
Usisahau lige za GermanCONCLUSION
WALE WANAOPENDA KUBETIA IDADI YA MAGOLI HASA OVER 0.5, 1.5, 2.5 BASI LIGI ZETU NI BELGIUM, NETHERLANDS(EREDIVISIE+ERESTEDIVISIE), IRELAND .,..... Hizi ligi hukosi over....
Norway kwa over wako safiUsisahau lige za German
Aisee hii naanza kuamini kabisa kabisaKipindi Cha 2015 kurud chin kupata 1m, sijui 2m, au zile 10 ilkua n kugusa wale jamaa wa 32 millions za premier bet Sana tuu.
Angalia jackop ya mbet inaliwa kinoma kuliko ya sportpesa jiulize kunan kama mbet apangi watu Yan Ela ikiwa nyingi anaset mtu anamtangaza fanya research washind wa jackpot ya mbet watafute kwenye social networks Kama utampata hata mmoja na washind wao wanatokea ikwiriri, kibondo, sikonge, Mara sijui Kijiji gan hakuna hata mmoja anajua social networks Yan majina ya washind wao hayamatch na huku mtaan ndo ujue huu n mchezo mchafu Kama unatafuta pesa ya kufanya maisha kupitia betting kwasasa n ngumu mno ukiotea mzee kimbia mbali Sana
Hata angeweka ungefuata? Au kujishaua tu
Sikushauri uingie huku ndugu yangu ni full stressNahitaji kujifunza betting ila sjui naanzia wapi na wanabetije, nimejaribu kuangalia thread hii naona mauza uza tu, naomba msaada wenu mnielekeze nianze na mimi kubet kwenye cmu, njia rahisi ya kubeti
Apime na presha mkuuKabla hujajifunza kubet nenda kwanza kaoge na maji ya baharini.
Poa mkuu, sorry kama umenielewa vibaya ntakua sikuuona o time, ila nashukuru kwa kutujali maana sio kila anaejilipua anakubali kushareUngefata au ulitaka kunikatisha tamaa?
Anyway, mkeka niliweka mapema sanaaa humu, pitia utaona.
Shukran mkuu, Ngoja nijaribuSikushauri uingie huku ndugu yangu ni full stress
Ikiwa una insist basi google betpawa tz kisha fungua acc
Deposit hata buku uanze mazoezi kwa stake ndogo kabisa ujionee yaliomo yamo?
Akimaliza kupima presha ajikane nafsi yake.Apime na presha mkuu
Kwamba ukiokopi tu, hola! [emoji23] [emoji23]Nilikuwa naona Professa akiweka humu mikeka yake, siku moja nami nikasema acha nijiunge Meridian nipige pesa kupitia nyota yake.
Akaweka mkeka wa kwanza nikakopi na kupaste, mwisho wa matokeo ikawa ndo hivyo tumepoteza. Nikapiga moyo konde nikaweka tena mwingine alioweka pia ikawa ndo hivyo.
Akakaa kama siku mbili hajaweka mkeka, siku alipoweka nikaruka nao ila wapi ni mwendo wa kupigwa tu. Mwisho nikasema acha nifanye yangu. Nikaanza kubet mwenyewe kwa mawazo yangu nikawa nakula muda mwingine napigwa.
Jana nimekaa na kusaka pointi 15 na zikawin, leo nisaka 22 najua zitawin.
Kwa sasa hata nione humu fixed match siwezi kukopi nitakomaa na akili yangu.
Na wewe unayeleta humu mkeka omba nisiukopi [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Yaani nikiukopi tu ujue wote tunalamba mchanga. [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kwamba ukiokopi tu, hola! [emoji23] [emoji23]