Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibu
Unatoa kiasi gani?

Kamilisha usajili kwa kuwatumia kitambulisho chako na utapewa pesa yako. Hawa watu ni waaminifu sana.

Kama ni zaidi ya 20000 lazima uwatumie kitambulisho na ukishatuma mara moja inakuwa solved moja kwa moja.
 
Naomba uchambuzi, nani anaweza haribu hapo??
PSX_20190820_123237.jpeg
 
Unatoa kiasi gani?

Kamilisha usajili kwa kuwatumia kitambulisho chako na utapewa pesa yako. Hawa watu ni waaminifu sana.

Kama ni zaidi ya 20000 lazima uwatumie kitambulisho na ukishatuma mara moja inakuwa solved moja kwa moja.
Natuma wapi hicho kitambulisho? kwenye usajili nimeupload driving licence na usajili ulikamilika.

Pesa 45000tsh, imekatwa tayari kutoka kwenye account ila mpesa haijafika.
 
Natuma wapi hicho kitambulisho? kwenye usajili nimeupload driving licence na usajili ulikamilika.

Pesa 45000tsh, imekatwa tayari kutoka kwenye account ila mpesa haijafika.
0800787878 piga hiyo namba watakuhudumia kama mfalme.

Waambie dukuduku lako kisha watakupa maelekezo ya kufanya, itatakiwa uwatumie tena whatsapp.

Usichoke.
 
Chonde chonde jamani mnaotaka kuanza kubeti kwanza mjiulize MNA moyo wa Chuma maana hii kitu ni zaidi ya Ndoa ukishaingia kutoka ni issue sana halafu kama ndo unamatatizo ya Moyo au Pressure tunaweza tukakupoteza mapema I see.....Huu ulingo ni wa moto sana, kuna kipindi cha furaha na kuna kipindi cha majanga yaani hichi kipindi kama unademu unaweza hata ukamsahau maana utapulizwa na muhindi mpaka utasema ngoja nipumzike hata mwezi na huo mwezi humalizi unashangaa mwenyewe unarudi tena ulingoni!!

Sisi wabetiji huwa tuna tabia ya kujiamini yaani hata kama 500 basi unajipa matumaini yakumpiga kanji na hatujawahi kukaukiwa na pesa za kubet....

Ila PARIMATCH WAMEANZA USENGE MAMAYEEEE....JANA WALINIWEKEA -11111 TSH, LEO NAKUTA -38000 TSH MAMAYEE CJUI WAMEISHIWA PESA..inaonekana watu wanawapuliza sana isee
 
Nimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibu
Namba ya kutuma kitambulisho Whatsapp
20190820_132554.jpeg
 
Akimaliza kupima presha ajikane nafsi yake.
Ha ha ha Na akiliwa aandae visingizio vya kujifariji, sasa hivi aseme ni mwanzo wa msimu wachezaji hawajachangamka nasubiri ligi ifike katikati, msimu ukifika katikati aseme timu zinaviziana ngoja nisubiri mwishoni mwa ligi ndio timu zinapasuana, msimu ukifika mwishoni aseme bora nisubiri tu msimu ujao sasa hivi timu hazieleweki au timu zinauza mechi
Ukimaliza hapo unasema bora nihamie kwenye basketball na tenes
 
Back
Top Bottom