Man u ipi? Unazungumzia ile ya akina rooney, ronaldo ama?Man utd anashinda Mkuu usiwe na shaka tupo pamoja... Mimi nimempa man u over 1.5 odd 2.5
Wamerekebisha mkuuNimewapigia nimewatukana wameniingizia pesa yangu
Huko naona USM Alger hawataki kutoa ov. 0.5 nile pesa dakika 73 hii dahHuko Aljeria
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] Dah Under 5.5 oneni Jamani walichonifanya.
View attachment 1185511
Professa alikuwa aki share mkeka analiwa asipo share anakula kuna sijui ni gundu za watuUnatumia kampuni gani boss....
Naona umeleta feedback ya GG...
Kuanzia leo nitakuwa nakufuata kwa single bet stake mkia wa kondoo...
Mkuu mbona hukuweka kabla
Ungefata au ulitaka kunikatisha tamaa?Mkuu mbona hukuweka kabla
Mkuu mbona hukuweka kabla
Achana nae. Mkuu tafuta Million leo nakupa Point 1.7 weka Million.We mchawi. Aliweka kabla ya mechi
sawasawa...Achana nae. Mkuu tafuta Million leo nakupa Point 1.7 weka Million.
BOOOOOOOOOOOMFERNABACHE WIN &OV1.5
2.00
ODDS
BOOOOOOOOOOOOOMJONG AJAX
GG&OV2.5
2.00
ODDS
Hata angeweka ungefuata? Au kujishaua tuMkuu mbona hukuweka kabla