Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
kwahyo umejenga mkuuWee acha mpaka mwishoni mwishoni walinigomea kutoa hela.[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahha,,,haya bana, Najua Kanji hajawah kuacha mtu salama, ucje kunipumzkia buree..!!Kila mtu akomae na option yake mkuu provided sio stake yako inaliwa hata huko kwenye magoli kuna lost za kutosha tu
Hawakosekanagi, ila nikiacha kucheza tu wote wanatoa[emoji3][emoji3]lazima awepo mchawi hapo
Tupo pamoja mkuu karibuWazee wa Parimatch twende sawa. Nimeamua kurudi nyumbani kumenogaaaaaa! Jamani sote turudi nyumbani kama ifuatavyo:
View attachment 1186601View attachment 1186604
aise hatarHawakosekanagi, ila nikiacha kucheza tu wote wanatoa[emoji3][emoji3]
Hakuna raha, kama kubet magoli ligi za AUSTRALIA, IRELAND na FINLAND yaan unaweka over 2.5, afu kipind cha kwanza tu unakuta matatu tayari,,basi unacheeeeeekaaaaa, Afu Kumbe wakati huo kuna raia bd wamekomaa na direct win tena England, kweli Betting is not for every one. Ila kuna mtu humu ni waya kwa kanji,,BASIASI...Hahaha
Hata sikupumzikii fact tu mkuuhahahha,,,haya bana, Najua Kanji hajawah kuacha mtu salama, ucje kunipumzkia buree..!!
🤣🤣🤣Kuna watu kama wamerogwa mkuu. Yaani yeye kwenye betting achokiujua ni opyion ya 3 way tuHakuna raha, kama kubet magoli ligi za AUSTRALIA, IRELAND na FINLAND yaan unaweka over 2.5, afu kipind cha kwanza tu unakuta matatu tayari,,basi unacheeeeeekaaaaa, Afu Kumbe wakati huo kuna raia bd wamekomaa na direct win tena England, kweli Betting is not for every one. Ila kuna mtu humu ni waya kwa kanji,,BASIASI...Hahaha
nimecheka sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu siku naamua kufuata tips za Proffesor ndipo alianza kupoteza vibaya na hakuna mkeka hata mmoja ulio win.
Nimeacha kukopi mikeka ya watu, hilo gundu ni langu. Nina madhambi mengi nikikopi mkeka wako ujue tunalala na viatu.
Nachomoa mbili humu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Wengi ni wale wenye kutumia M BET.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu kama wamerogwa mkuu. Yaani yeye kwenye betting achokiujua ni opyion ya 3 way tu
MSAADA TUTANI; wadau naomba kujua ni kampuni ipi nzuri kwa kubeti online games ambayo wanaweka games nyingi na options nyingi.???
jaribu mkuu...ila Jana kama ulisema ukikopi kwa mtu lazima iwe gundu!!Nachomoa mbili humu.
hiyo bila shaka ya supu imekubali