Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀ *Daily 1.50 odds*🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽

Malmo FF - Bnei Yehuda Tel Aviv FC
Over(1.5) 1.19

FC Copenhagen - Riga FC
Over(1.5) 1.15

PSV - Apollon Limassol FC
Over(1.5) 1.15

Z59FDM27
BC361FHM
 
96000 mkuu sio 196" 000
 
96000 mkuu sio 196" 000
ndio mkuu nimeandika 196,000 lakini ni 96000 kama ulivosema.
Yaani katika game za siku nzima ukitafuta odds 2 tu, unakuwa na hiyo hesabu. Sema ukishafika kwenye list ya team akili inakuwa sio yako tena, inakuwa inaongozwa na remote ya kanjibai.
 
Changamoto za hii card kwa watu wa naotumia 1xbet ni zipi mkuu, samhani kwa usumbufu
 
✪ Singles ✪

►Dinamo Z - Rosenborg 1 (1.59)✅
►Young Boys - Cvrena Zvezda ( away team score 1.62)✅
►Leeds - Brentford 1 (1.60)✅
►Charlton - Nottingham GG (1.77)✅
►Preston - Stoke GG (1.76)✅
►Jerv - Oslo GG (1.46)✅
►Tromsdalen - Songdal 2 (1.65)✅
►Goias - Brasiliense 1✅ (1.52)✅
►Remo - Sobradinho 1 (1.70)✅
►Real Santander - Atletico fc 1 (1.83)✅
►New York - Columbus ( local team over 1.5 goals 1.53)❌

Good Luck (y)
 
Ndipo apo panapo nishinda Mimi asee odd2 sikaZi rahisi ukibeti kwa macho ni rahisi Sana tiamzingo uone uvyo pata kuzungu zungu hapo kanji ndipo anavyofanya yake
 
Changamoto za hii card kwa watu wa naotumia 1xbet ni zipi mkuu, samhani kwa usumbufu
Kwa mfano niliwahi kuactivate card ya KCB BANK kufanya online purchasing, kudeposit inachukua sekunde tano tu, ila kuwithdraw hadi hela ikufikie bank ni siku 7 hadi 14 za kazi. Ila kwa card maalum ya malipo ya online muamala unakufikia ndani ya siku moja.

Changamoto nyingine kama una mtaji mdogo, yaani hela yako unakuwa unaitazama tu coz haijakidhi viwango vya kutolewa, mwisho wa siku unakuta unapukutishwa mtaji.
 
Asante sana mkuu kwa kunipa hii idea ya siku sita 96,000 kwa odds 2 kwa hiyo 1500, kiufupi kuwin mfululizo kwa mm naweza maana napendelea live bet na pia kwenye kuwithdraw kutoka 1xbet huwa natumia Skrill, then natoa Skrill kwenda M-Pesa Kenya to M-Pesa Tanzania
 
Ndipo apo panapo nishinda Mimi asee odd2 sikaZi rahisi ukibeti kwa macho ni rahisi Sana tiamzingo uone uvyo pata kuzungu zungu hapo kanji ndipo anavyofanya yake
Asaidie kushare hizo six days...tu
 
Changamoto za hii card kwa watu wa naotumia 1xbet ni zipi mkuu, samhani kwa usumbufu
Mkuu changamoto kubwa ni kuwa wakamalia wengi ni wakamalia wadogo wadogo, aki won 10K anaitoa fasta

Sasa huko kwa kadi ni kuanzia 120K

Hivyo hivyo na kwa bitcoins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…