Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli mawakala wa kuuza mechi wapo kama biashara ya forex,kmfano soccer prediction na statarea ni MTU mmoja
 

Attachments

  • Screenshot_20190821-223813.jpg
    Screenshot_20190821-223813.jpg
    64.3 KB · Views: 34
Kiasi cha kuwithdraw kinategemea thamani ya TZS v USD kwa siku husika.
Kama una akaunti ya TZS ni kati ya ya sh 130,000 hadi 140,000
Kama una USD ni $50.
Process ni zile za hapo juu yaani MAJINA MATATU, CARD NUMBER, CVV, EXP DATE, EMAIL (Samahani pale juu sikuweka exp date)
Kumbuka hizi kadi za kulipia mtandaoni (hasa zile za bank zenye owner's name nje) zipo uchi, mtu akiiona tu NADHANI anaweza kuhamisha pesa yako bila password yako.
Mkuu hapo kuwithdraw mbona nimechanganyikiwa hadi iwe zaidi ya laki na sehem?
 
Fulham fala sana wewe. Unajitia ujuaaaajii, mbona ulishuka ligi kuu kondoo wewe!
 
Kiasi cha kuwithdraw kinategemea thamani ya TZS v USD kwa siku husika.
Kama una akaunti ya TZS ni kati ya ya sh 130,000 hadi 140,000
Kama una USD ni $50.
Process ni zile za hapo juu yaani MAJINA MATATU, CARD NUMBER, CVV, EXP DATE, EMAIL (Samahani pale juu sikuweka exp date)
Kumbuka hizi kadi za kulipia mtandaoni (hasa zile za bank zenye owner's name nje) zipo uchi, mtu akiiona tu NADHANI anaweza kuhamisha pesa yako bila password yako.
True mkuu..
Shukrani sana kwa elimu.
 
Leo nimemnasa kanji, nimetopia over 1.5 mechi zote za uefa na england championship, kanji kapatikana leo.
 
Mkuu kuna treni bado lipo kwa njia linaendelea na safari?

Naona hapa kwenye betsilp yangu kuna treni linasoma kilomita 12/17

Mi sio mtaalam wa matreni nahisi nimelikopi kwako
Ni kweli mkuu, nami nilitembea nalo hili Treni la tangu juzi. Limebakiza vituo vitano tu ili leo lifike Kigoma. Game zilizobaki zinanipa matumaini - Dinamo Zagreb, Young Boys, Olympiakos, Fulham na Leeds.
Wakuu TRENI limefika salama. Na kwa wale wote waliolifuata. Alfu tano tu, imerudisha loss ya mikeka yetu mitatu ya nyuma na faida juu....!!!



Wazee wa TAZARA, Treni hiyoooooo!!!
Screenshot_20190822-001132.jpg
Screenshot_20190822-001143.jpg
Screenshot_20190822-001153.jpg
Screenshot_20190822-001158.jpg
 
Mkuu hapo kuwithdraw mbona nimechanganyikiwa hadi iwe zaidi ya laki na sehem?
Ndio, kudeposit kima cha chini ni 1500
Kuwithdraw ni 130,000.
Siku thamani ya TZS ikishuka sana ni 128,000.
Kwa mtaji wa buku jero ukitafuta odds 2 kila siku kwa kuishinda tamaa, kwa siku 6 utakuwa na 196,000. Sema mtihani upo kwenye kushinda mfululizo bila kupoteza.
 
Piga namba +255 222 111 990 kama upo Dar, atakwambia uende tawini na 15000 na NIDA ID.
Uzuri wa hii kadi haina makato yoyote ya mwezi na unaweza kuitumia kama kadi nyingine za bank.
Pesa ikishatoka Urusi unaweza kutolea ndani bank, atm yoyote ya VISA au ukatuma kwenye mpesa yako.
[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom