Kuweni na strategy katika betting wakuu
Najitolea mfano mimi, huwa sipendi sanaa kufata kila paid ticket inayoletwa humu
Mimi binafsi nna njia kuu zangu 3 za kubet, na katika kila njia kuna ligi na timu zake
*Njia ya 1*
Sipendagi sanaaa kubet direct win, but nna timu zangu spesho kwa ajili hiyo, na huwa kila zinapocheza nakiwa notified, hawa ni nawafata home na away hawanaga kazi mbovuuu
1. Arart-Armenia ya Armenia
2. April ya North Korea
3. Club Olimpia ya Paraguay
4. Young Boys
5. Slavia Prague
6. Copenhagen Fc
7. Djurgansen
8. Sirens ya Malta
9. Slovan Blatislava ya Slovakia
10. Ludgorets na Levski Sofia za Bulgaria
11. Esperance ya Tunisia
12. Zesco United
13. Simba
14. Gormahia
15. Al Ahly, Zamalek na Pyramids za Misri
16. Sherif Tirraspol ya Moldova
17. Johor DT ya Malaysia
18. Zalgiris ya Lithuania
19. Los Angels Fc
20. Kampala City Councils Authority ya Uganda
21. Young African hasa akicheza Taifa
22. Dudelange ya Luxemborg
23. Ferencravos ya Hungary
24. Olympiacos
25. FK Sarajevo
26. Olimpija Ljibjuana ya Slovenia
27. Real du Cap ya Haiti
Hizo ndio timu zangu za Direct Win Mazimaaaa
*Njia 2*
Nna timu zangu spesho ambazo huwa nazifata mazima kwa over 1.5 kabla ya mechi na inplay odds zikipanda, hizi timu huniangushaga mara chache sanaaaa sanaaa
1. Europa Fc na Lincoln Red Imps za Gibraltar
2. Valeta na Hibernians za Malta
3. Suduva Marjampole ya Lithuania
3. Red Star Belgade au Crevna Zvezda na Radnick Nis za Serbia
4. Sparta Prague
5. Shakhtar Donetsk
6. PAOK
7. Hajduk Split na Dinamo Zagreb za Croatia
8. Hammarby na Mamlo FF
9. Ajax na PSV
10. Barca na Madrid
11. Man City, Man Utd, Spurs na Liverpool
12. Porto na Benfica
13. Genk
14. Juventus
15. Bayern na Dortmund
16. Perth Glory na Sydney Fc za Australia
17. TP Mazembe
18. Celtic na Rangers
19. Ballymena, Crissaders na Linfield za Northern Ireland
20. Shamrock Rovers ya Ireland
Hizi ni timu zangu ambazo, mara nyingi huwa lazima nizifate ziwe home au away
*Njia ya 3*
Hapa huwa nna ligi zangu zinazotoa over sanaa
Pia nna Timu zangu chache Kubwa ambazo zikicheza lazima zitaruhusu goli yani na Ndogo ambazo lazima zipate goli zikicheza na timu kubwa
Ligi zenyewe ni
1. Belgium
2. Netherlands Eredevise na Eeraste Devise
3. Austria 2 Liga
4. Norway 2 Divison
5. Czech Liga
6. Superten ya Sweden
7. Australia Ligi Kuu
8. Indonesia 1
9. Vietnam Ligi Kuu
10. Northern Ireland Ligi Kuu
11. *MLS* huyu ndio baba lao
12. EPL, La Liga, Bundes Liga na Seria A kwa baadhi ya mechi
Timu Kubwa zenyewe ni
1. Chelsea
2. Feyernoord
3. Victoria Plizen
4. Molde
5. Marseile na Lille
6. PSG
7. Trabzonspor, Galabasaray, Besiktas na Basekhshir
Timu Ndogo ni hizi
1. Atalanta
2. Wolves
3. Utrecht
4. Vittese
5. AIK
6. Rosenborg
7. Kransnodar
8. Piskas Academy ya Hungary
9. Sportong Cherloi ya Belgium
10. Frankfurt, Schalke
Nahitimsha kwa kusema kuwa, kuna baadhi ya ligi ambazo mimi huwa Sinaga mpango nazo kabisaaaa kwenye kuzibetia
1. Urusi
2. Ufaransa
3. Poland
*Kwa kupoteza kwangu mda kuandika hivi, NAAMINI NITAKUWA NIMESAIDIA BAADHI YA WATU WAWE NA STRATERGY KATIKA BETTING NA SIYO KUJIBETIA TU*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]NIMEWASILISHA TU WADAU!!!!