Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu changamoto kubwa ni kuwa wakamalia wengi ni wakamalia wadogo wadogo, aki won 10K anaitoa fasta

Sasa huko kwa kadi ni kuanzia 120K

Hivyo hivyo na kwa bitcoins
Hilo ndio tatizo ila kwenye withdraw inakuaje maana sioni sehem ya prepaid card
 
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

22 – August – 2019

⏰ 3:00pm

🌍 RUSSIA: Supreme Division W.

⚽️ Torpedo I. W – Ryazan W.

✍ Tip: 2/2 HT/FT Odds: 1.80
 
Haoa sijaelewa ikitokea penalt inakuaje? Mathalani inetokea penalt na red card haijatokea
Matukio yote mawili yasitokee, likitokea moja wapo umeliwa.
Hiyo unayosema ipo lkn odds zake ni ndogo sana 1.03 utaliwa tu endapo penalty na red zimetokea zote
 
Hilo ndio tatizo ila kwenye withdraw inakuaje maana sioni sehem ya prepaid card
Daah mkuu vingine unajiongeza kidogo tu. Prepaid card si ndiyo hiyo unayotumia kudeposit pesa.Visa/Mastercard zote ni prepaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…