Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 903
- 1,528
Si bure utakuwa una shida ngoja tukuache tusubirie mipira idunde.Ndio saa 4 usiku ila ndo ivo tena
Si bure utakuwa una shida ngoja tukuache tusubirie mipira idunde.Ndio saa 4 usiku ila ndo ivo tena
yaan ndo hivyoAIK ... duuh !!!
hajatoa hata droAIK kaninyima hela nyingi sanaa
kimeshafungwaKuna hiki ki timu kinaitwa sijui FEYENORD hahahahahahahahah ukijaribu kukibetia hela yako umetoa sadaka kwa kanji.
Mzee wa kokoro siku hizi linaitwa treni umeadimika sana mkuuAIK kaninyima hela nyingi sanaa
Mzee wa waptanbetMpira dkk 90
Huyo atasepa na kijiji kwa ZENITMidtyland Leo mbuzi was kafara
Huyo atasepa na kijiji kwa ZENIT
Mzee baba upo??AIK kaninyima hela nyingi sanaa
Nipo mzee mwenzangu. Kwema??Mzee wa kokoro siku hizi linaitwa treni umeadimika sana mkuu
Nipo mzee babaa majukumu tu yanabanaMzee baba upo??