Nacheza inplays toka jana nimekula mikeka yote ya inplaysNilikua na mikeka minne jana mmoja kachana linfield wa pili zenit wa tatu man city wa nne cfr cluj nikaokolewa na inplays
Tusafiri wote mkuu inplaysNacheza inplays toka jana nimekula mikeka yote ya inplays
Kaka pesa hii
Imeisha hiyo..... Nasubiri pesa tuView attachment 1184499View attachment 1184500
Vipi kwani??[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]