Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakati we unaishukuru VAR sisi huku tunailaumu sana, ndio utakapojua kuwa hii kazi ni ngumu na Mungu hahusiki nayo kabisa. ametuachia sisi wenyewe tukanyagane na mhindi.
We acha tu mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], lucas moura sio mtu mzur hat hvyo
 
Sio kila siku mnabeti mpira tu!! Tafuteni na michezo mingine mjifunze utajifunza kitu.... Pesa ya kanji usitegemee upande mmoja jifunzeni kubadilika kama kinyonga pale anapohisi hatar....
 
Kuanzia October league nyingi za basketball zitaanza ukiwa makini kanji atapata tabu sana, cha msingi jiunge na betting sites ambazo zina michezo kama yote mfano mzuri PARIMATCH, SPORTPESA, BETPAWA, SUPERBET, PRINCESS BET NA MINGINE KAMA UNAIJUA ILA MM HII NDO NAIOA THE BEST KWA KUWA NA OPTION TAMU NA NYINGI INGAWA ZINATOFAUTIANA KIDOGO
 
Mlisubr ligi za mpira zianze sasa zimeanza[emoji1787][emoji1787], saiv mnasubr za basketball [emoji113]
 
Screenshot_20190818-084253.png
 
Mlisubr ligi za mpira zianze sasa zimeanza[emoji1787][emoji1787], saiv mnasubr za basketball [emoji113]
Mkuu nimesema hivyo kwakuwa mm huwa Mara nyingi nabet basketball na ndo huwa inanipa pesa kwa kanji hata sasa hivi kuna game za basketball lakini za kimataifa lakini pia ni chache....na hizi sites zetu game zingine hawaonyeshi!!

Mfano league ya USA ya wanaume imeisha miezi mitatu nyuma, mpaka December ndo wanarudi tena, league yao ya wanawake ndo inaendelea , league ya Australia zimebaki game za playoff nahisi kama zitakuwa tayar na yenyewe imeisha maana sijaifuatilia sana, league ya wafilipino na wenyewe walikuwa playoff but wamemaliza tayar juz hapa, league zinazotarajiwa kuanza soon kuna za ujerumani, China, na zingine unaweza kufuatulia ndo maana nikasema kuna league nyingi zitaanza kuanzia mwezi october. Mm sitegemei football kupata pesa kwa Kanji kuna siku na siku nabeti football kama nikiona upepo unasomeka vizur but Mara nyingi Handball, baseball na basketball....OVERRRR
 
Teh! Teh! Kweli asee
Wakati we unaishukuru VAR sisi huku tunailaumu sana, ndio utakapojua kuwa hii kazi ni ngumu na Mungu hahusiki nayo kabisa. ametuachia sisi wenyewe tukanyagane na mhindi.
 
2+ ODDS
GG&OV2.5
LOKEREN
UNION BERLIN
PSV
OOSTENDE GAME
ALL D BEST
PLAY SINGLE N COMBINE
@UR OWNRISK
 
🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀🏋🏽‍♀ *Daily 1.50 odds*🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽🚴🏽

Feyenoord Rotterdam - Utrecht
Over(1.5) 1.13

Twente - Waalwijk
Yes 1.28 *hweh*

Z59YSG92
BC3552TR
 
Siri ambazo kampuni za kamari hawataki tuzijue
1.Accumulator :Si unaona bonus ? Uongo mtupu..wanaoenda zaidi mikeka (Accumulator) ili tuliwe kuliko singles, doubles au treble.

2.Account Limit:Hawa jamaa kuna baadhi ya accounts wanazifungia wakiliwa sana..hii ni pamoja na kupangiwa kiwango cha kutoa na kuweka.

3.Tracking:Najua mtabisha,lakini tunafuatiliwa sana..hapa wanatumia IP address,cookies na vitu kama hivyo.lengo wajue kama kuna ujanja ujanja na vitu vingine.wanajua nani huwa anaweka mzigo wa maana na anawala sana na anatumia option gani.

4.Wanawasilina: Hawa jamaa wanawasiliana kabisa na si ajabu wana group lao la WhatsApp.. Lengo ni kuwajua wakali wa hizi kazi na namna ya kuwashughulikia.

5.Usiangalie udogo wa odds:Hili liko wazi..wanaweka zile kama muongozo tu..lakini muhimu ni performance, mazingira na mengine ndio yata determine ushindi wa timu.

6.Kutangaza washindi kwenye media:Hapa sitaji kampuni nadhani tunaona wanavyopiga promo.. Lengo uvutike uliwe.

7.Virtual game utaliwa milele:Kule kuna wakali wa Computer ambao wao kazi yao ni kuhakikisha unaliwa.

Kama kuna zingine unaweza kuongezea..
Nimetoa kwenye vyanzo mbalimbali..
Kweli mkuu nipo nawewe 100% Mimi virtual game ni me cheza Sana nika gundua naliwa Sana nikaachana kabisa na virtual game
 
Back
Top Bottom