thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Yah!! Ndo sheria ya betting kama kuna red card inahesabika kama njano mbili haijalishi amepewa straight au laNilibeti under 8.5 cards...game ikatoa kadi nane ikiwemo red moja.
Parimatch wananiambia red card moja husimama kwa njano mbili hivyo bet lost. Alyepewa red alipigwa straight red. Hii imekaaje wadau?
