kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,345
- 5,455
App ya 1xbetWakuu hivi app gani naweza kucheki throw in ....msaada wakubwa
App ya 1xbetWakuu hivi app gani naweza kucheki throw in ....msaada wakubwa
Hii inaitwa Asian Handicap
Hapa maan ake ili mkeka utick Man city ashinde kwa tofauti ya goli 2 au zaidi...akishinda kwa tofauti ya goli 1 unakua umeshinda Nusu yan wanarefund pesa Nusu...unakua umeliwa kama Mechi ikitoka droo au City akipigwa
Nenda play store andika tekegram downloadedAliye jiunga na telegram group msaada plz
App ya 1xbet
Unaweza kuwa sahihi.. nakumbuka niliwapiga 1xbet shilingi 200000 kwa siku kumi na mbili mfululizo kwa option ya DRAW (in five minutes ) kwenye interval outcome/quick events... Siku ya kumi na tatu option ikaondolewa kwangu ila kwa wengine ikawa inaonekana.Siri ambazo kampuni za kamari hawataki tuzijue
1.Accumulator :Si unaona bonus ? Uongo mtupu..wanaoenda zaidi mikeka (Accumulator) ili tuliwe kuliko singles, doubles au treble.
2.Account Limit:Hawa jamaa kuna baadhi ya accounts wanazifungia wakiliwa sana..hii ni pamoja na kupangiwa kiwango cha kutoa na kuweka.
3.Tracking:Najua mtabisha,lakini tunafuatiliwa sana..hapa wanatumia IP address,cookies na vitu kama hivyo.lengo wajue kama kuna ujanja ujanja na vitu vingine.wanajua nani huwa anaweka mzigo wa maana na anawala sana na anatumia option gani.
4.Wanawasilina: Hawa jamaa wanawasiliana kabisa na si ajabu wana group lao la WhatsApp.. Lengo ni kuwajua wakali wa hizi kazi na namna ya kuwashughulikia.
5.Usiangalie udogo wa odds:Hili liko wazi..wanaweka zile kama muongozo tu..lakini muhimu ni performance, mazingira na mengine ndio yata determine ushindi wa timu.
6.Kutangaza washindi kwenye media:Hapa sitaji kampuni nadhani tunaona wanavyopiga promo.. Lengo uvutike uliwe.
7.Virtual game utaliwa milele:Kule kuna wakali wa Computer ambao wao kazi yao ni kuhakikisha unaliwa.
Kama kuna zingine unaweza kuongezea..
Nimetoa kwenye vyanzo mbalimbali..
Hiyo no 2 imeshawahi nitokea,1x kuna kipindi nilikua nafanya zero betting na msela angu moja hv, .....tunaweka stake kubwa Sana kampuni mbili tofauti,yeye na meridian, meridian alivo mbulula hakuwahi kusanuka ata kdg 1x yeye akashtukia akaanza kumfungia kwanza jamaa yangu tuliyekuwa tunashirikiana nae, almanusura wakataze ata mpunga humo kwa account.baada ya kusubmit picha za kutosha za national id ndipo wakamruhusu kutoa pesa ila alipotoa tu wakamfungia mazimaSiri ambazo kampuni za kamari hawataki tuzijue
1.Accumulator :Si unaona bonus ? Uongo mtupu..wanaoenda zaidi mikeka (Accumulator) ili tuliwe kuliko singles, doubles au treble.
2.Account Limit:Hawa jamaa kuna baadhi ya accounts wanazifungia wakiliwa sana..hii ni pamoja na kupangiwa kiwango cha kutoa na kuweka.
3.Tracking:Najua mtabisha,lakini tunafuatiliwa sana..hapa wanatumia IP address,cookies na vitu kama hivyo.lengo wajue kama kuna ujanja ujanja na vitu vingine.wanajua nani huwa anaweka mzigo wa maana na anawala sana na anatumia option gani.
4.Wanawasilina: Hawa jamaa wanawasiliana kabisa na si ajabu wana group lao la WhatsApp.. Lengo ni kuwajua wakali wa hizi kazi na namna ya kuwashughulikia.
5.Usiangalie udogo wa odds:Hili liko wazi..wanaweka zile kama muongozo tu..lakini muhimu ni performance, mazingira na mengine ndio yata determine ushindi wa timu.
6.Kutangaza washindi kwenye media:Hapa sitaji kampuni nadhani tunaona wanavyopiga promo.. Lengo uvutike uliwe.
7.Virtual game utaliwa milele:Kule kuna wakali wa Computer ambao wao kazi yao ni kuhakikisha unaliwa.
Kama kuna zingine unaweza kuongezea..
Nimetoa kwenye vyanzo mbalimbali..
Timu 12 tu kiongozi odd 40+Mbona umeweka nyingi sana mkuu?
Chambua chambua uweke MkuuMbona umeweka nyingi sana mkuu?