Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa PARIMATCH hutakiw kuwa na haraka maana game imeisha mda mrefuu ila wao bado pending
 
Mzee baba kitambo sana humu..Naona Meridian umegoma kuwaacha
Majukumu mengi Kaka ila nikipata muda lazima niweke ka dawa. Betting nikawa madawa ya kukevya, nimeshashindwa kuacha.
Sasa hivi natafuta mechi moja naweka mzigo mkubwa.
 
Kujaribu sio sawa na......
IMG_20190817_161141_401.JPG
IMG_20190817_161209_382.JPG
IMG_20190817_161247_158.JPG
IMG_20190817_161312_849.JPG
 
Mechi ya Borussia vs Augsburg ilivyoanza tu. Watu wakaanzisha na hapohapo Augs wakapata goli dakika ya kwanza. Alafu tena Dortmund wakaanzisha mpira na kusawazisha!
 
Back
Top Bottom