Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha hii timu imefungwa kumi, halafu kumbe Direct win inanifaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Screenshot_20190817-002135~2.jpeg
 
Walau yangepata akili",.

mignolet nae shensana alikua akichomwa akiwa Liverpool eti huko ni kistar kinachomoa na cleansheet juu[emoji28][emoji28][emoji28] kubet kutamu
Kishenzi kbs wakati kilikuwa kipazia kweli. Naona hizi timu ambazo zipo UEFA na EUROPA zimetia nguvu sana huko, huku ligi zao basi tu. Kama Brugge ana mechi keshokutwa za UEFA.
 
Kuna watu wanataka odds 2 halaf wanaogopa sasa naeka odds mbili mbili atae taka atafata kesho ya kwanza levadia vs paide over 2.5,irtysh vs tobol over 1.5,slavia vs dynapro over 1.5
 
Back
Top Bottom