Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Apigweee tuu hata 2 nmeomba 2+Barcelona lazima afungwe goli. Away cleansheet NO.
Apigweee tuu hata 2 nmeomba 2+Barcelona lazima afungwe goli. Away cleansheet NO.
Namskilizia naona kimyaaa tuClub Brugge !!!
Na wewe unamuona kama nimuonavyo mm??Club Brugge !!!
Brugge kaenda na pesa zetu
hawa ndo wachomoa betri maana win hawatoi wala overHuu mchezo unahitaji hasira *****. Hana shot on target hata moja dk ya 85 sasa. Duh !!!
Mkuu naitazama hii mechi hawa jamaa wamepaki bus hawatoki nyuma Hawaachii space hata tunduHuu mchezo unahitaji hasira *****. Hana shot on target hata moja dk ya 85 sasa. Duh !!!
Barcelona sijui watawaambia nini watu.
******* hawa brugge dah ***** zao mbwa hawa!
Utaachaje kitu kinachokupa pesa wewe? Yani mikeka miwili ikatae nihame? We kaa tulia. Kama hupatagi pesa mzee, it is you.Idadi ya waumini wa DIRECT WIN inapungua; na baada ya hapo idadi ya mabehewa ya OVER itapungua.
Kuna watu wanaamini wanazijua timu na wachezaji, ili hali hata kocha hajui.
Wale mlio na hela za kupoteza kila la heri.