Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hii timu imefungwa kumi, halafu kumbe Direct win inanifaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1183339
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hii timu imefungwa kumi, halafu kumbe Direct win inanifaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1183339
strategy ninayofikilia kuitumia ni 2+ odd,mfano niki stake 5000 tsh,nikapigwa then next bet natafuta 2+ odd na stake 10000tsh return 20k,total stake hapo inakuwa 15000 so nina profit ya 5000 bahat mbaya nikapigwa tena then na stake 20000 kwa 2+odd return inakuwa 40000 nakuwa nimetumia 350000 profit inabaki kuwa 5000..naamin ukitulia kutafuta odd 2+ hauwez ikapita mikeka minne au mitano bila kupatia..kinachotakiwa uwe na balance ya kutosha usije ukaishia njianiAnhaa,nmekuelewa sasa,nilikua sjakuelewa,..yaan atleast iwe 2times.yaan kama10k ikiwin upate 20k,ili ukilose hyo 10k ina cover
Mtihan uko kwenye kuipata hyo odd 2 aisee
Ya pili redbull salzburg over 2.5,harmaby sundvall over 2.5, maribor over 1.5, tabor vs triglav both
Naunga mkono maombi mkuu jana nimewakwepa Barcelona na bayern nikaangukia kwa BruggeNaanzaa upyaaaaa ... na 200K, natafuta 1.5 odds leo, nipate 100K.
Mungu nisaidie. Amina
Hiyo avatar ni mtoto wako mkuu?Barca umeliza wengiView attachment 1183375
Liv funs somahioooooo yaaaani n mkosi WA magolikipa kilamwakaaa wallahUmakin unahitajika leo barca,mess majeruhi..ohooo
ViIBERITI VYA JANA KAMA ULIJIMWAGIA MAFTA MWENYEWE JIOKOE MWENYEWE MAPEMAA VIKOHAPAMKIMBIEN BARCA DIR WIN
NA BUYERN MUNICH WACHOMOA BETRI SIIKU YALEOO
Hiyo avatar ni mtoto wako mkuu?
●►●►●►●►●►●► ════════════════════════════════════════════════════════════
═════
► Date : 17/ 08 / 2019
► Time: 14:30 pm
► League ::England🏴:
►Match ::Arsenal -Buney
► Tip : [ 1] ○FT &ov 1.5
► Odd : 2.80
► Safe %100
══════════════════════════════
═════
●
Huu mchezo ukizidisha umakini lazima ulie sana.strategy ninayofikilia kuitumia ni 2+ odd,mfano niki stake 5000 tsh,nikapigwa then next bet natafuta 2+ odd na stake 10000tsh return 20k,total stake hapo inakuwa 15000 so nina profit ya 5000 bahat mbaya nikapigwa tena then na stake 20000 kwa 2+odd return inakuwa 40000 nakuwa nimetumia 350000 profit inabaki kuwa 5000..naamin ukitulia kutafuta odd 2+ hauwez ikapita mikeka minne au mitano bila kupatia..kinachotakiwa uwe na balance ya kutosha usije ukaishia njiani
Chinese lgTUPUNGUZE MACHUNGU YA BARCA NA BUYERN FASTA 2.10. STAKE WIFE KABISAA NA NYUMBA NDOGO
💯*
*Quindo Jonoon Vs Quindo Lion*
Away over 0.5
*2.10 odds*