Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

GG
Screenshot_2019-08-18-09-57-58-1.jpeg
 
Hapa simuoni wa kuchomoa betri

Chelsea FC v Leicester City

1

1.74

Atletico Madrid v CF Getafe

1

1.63

AZ Alkmaar v FC Groningen

1

1.51

FC Stade Rennes v Paris Saint-Germain

2


1.37

Odds 5.87
 
Kwema wakuu? Mbona kimya kimetawala humu? Najua ni kwa sababu ya kuliwa sana na Kanji wiki hii lakini elewa kwamba kila mtu ni mhanga. Tuendelee kufarijiana na kupeana tips machief wote. Never ever give up! Baada ya vipigo wiki nzima, leo natoka hivi na sikomi:

1566120424041.png
 
Nilikua na mikeka minne jana mmoja kachana linfield wa pili zenit wa tatu man city wa nne cfr cluj nikaokolewa na inplays
 
Back
Top Bottom