Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yule aliyetaka mechi tatu za draw pasipo magoli achukue hii wakati tunatafuta nyingine.

IPhone X bei gani wadau?
 
Fc kobenhvan kupata goli 3 ana 2.57 nataka nijilipue gem iko half time ushauri kabla sijaweka wapanaji wenzangu
 
Wakuu ivi prepaid card ya BancAbc inatumika wapi kwenye 1xbet kati pale kwenye visa card au kwenye prepaid card
Kati ya hizi sehemu 2 natumia wap
 
Kweli haya maisha ya kubeti yanawenyewe yan me nimempa feyenord under mwingne nimesoma post hapa anamuombea atoe goli 4 daah
 
Az alkamar na ludogrotes ni mawakala wa khanji hali itakuwa ngumu sana mwaka team hazielewi kabisa,ukisema direct win hatari ukicheza magoli yana kauka kabisa,both team to score team iko home inafungwa 3 bila daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…