Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Pale umempa Madrid direct win kutokana na Odd halafu ngoma inaisha hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nahisi huwaga si mimi kabisa hadi game zikianza akili ndo inakujaSijui tunakwama wapi! Ukifungua livescore uangalie matokeo yalivyonona unajishangaa labda wakati unabet ulishikiwa akili
Alikua na 1.18 dah kweli hii ni hatariPale umempa Madrid direct win kutokana na Odd halafu ngoma inaisha hivi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1189286
Yan bado upo huko?Acha nipumzike hizi lost zipungue/zifutike then ntabadilisha strategy hii direct win itanimaliza,,
Mzee uchawi upooSijui tunakwama wapi! Ukifungua livescore uangalie matokeo yalivyonona unajishangaa labda wakati unabet ulishikiwa akili
Mkuu sijui wananiloga yani najikuta tu ila naacha rasmi nimegundua napoteza sana timu unaona kabisa inashinda na h2h na performance inaibeba but anapigwa au anasare kama sutjeska, na zenit walichofanya leoYan bado upo huko?
Cercle Brugge baba, nihurumie. Toa tu hako over 1.5 nilale
Aisee.. mkuu huko HAPAFAI!Mkuu sijui wananiloga yani najikuta tu ila naacha rasmi nimegundua napoteza sana timu unaona kabisa inashinda na h2h na performance inaibeba but anapigwa au anasare kama sutjeska, na zenit walichofanya leo
Mkuu umeweka mechi moja mikeka miwili? Duh! Usifanye tena hivyo asee... tuombe itoe tu maana...Aisee nimebaki Na mikeka miwili yote nimemuweka..dah naona kabsa 20k Yangu inaenda..mkeka Mmoja nimeomba 2+ , mkeka wa pili nimewaomba goli moja kipind Cha pili
Mkuu umeweka mechi moja mikeka miwili? Duh! Usifanye tena hivyo asee... tuombe itoe tu maana...
Tunalala nayo mkubwaaWolves vs Burnley
Wolves- win
Odds: 1.86
Stake: 2M
See you tomorrow wapambanaji wenzangu, wanaume wa shoka.
Bet what you can afford to lose.
Mungu bariki kesho barcelona ashinde dhidi ya betis alafu man city dhidi ya 2_5 tuka drawn mpungaGanda la ndizi[emoji529]ilo kazi kwenu. MUNGU MBARIKI ATAKAE FATA MKEKA HUU[emoji1241]View attachment 1188202