Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ni kweli? Huyu mwanamama wakujiita superwoman umekuwa akishukuriwa kila kukicha kwa kuwashindisha watu mikeka yao,na yupo Fire kweli, Tazama picha hapo chini
 
Wadau hii kitu kama ipo serious tuambizane japo ana ghali kumlipa ila ndo hivyo twaeza jipinda tumkong'oli muhindi
IMG_20190825_162921_784.jpeg
IMG_20190825_162927_079.jpeg
IMG_20190825_162930_368.jpeg
IMG_20190825_162931_943.jpeg
IMG_20190825_162934_937.jpeg
IMG_20190825_162936_494.jpeg
IMG_20190825_162943_834.jpeg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hakuna ukweli hapo mkuu we hujagundua tu iseee....yaani hao wakenya ni big scammer balaaa....JAMANI WEKENI KATIKA AKILI ZENU HAKUNA FIXED GAMES ZINAZOUZWA KAMA NJUGU...HIZO HUWA NI PREDICTION HATA WW UNAWEZA KUJARIBU NA UKAFANIKIWA ANGALIA GAMES NYINGI WANAZOTOA ZINATOKA BARA LA AMERICA KUSINI NYINGI NI KWASABABU MATOKEO YAO HUWA MARA NYINGI UNAWEZA KUBAHATISHA CORRECT SCORE ZAO....
Ushawahi kuona LEAGUE KAMA YA ENGLAND WANATUMA CORRECT SCORE??? BECAUSE IS UNPREDICTABLE

HALAFU KWENYE HIYO SMS YA MPESA IMEFANYIWA EDITING HALAFU CJUI HUJAGUNDUA.... HAPO ALISEMA AMESHINDA 560K THEN ATAMTUMIA 50K AS APPRECIATION LAKINI SMS INASOMA AMETUMA 50000Ksh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom