Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah kweli nimejarib kuafuata njia za hesab kwenye kubet lakin kanji mwite kanji tu yan na kuteseka kote uko kufanya hzo hesab lakn hamna kitu yan ukieka 1M unapata buku mbili daah haya maish ya kubet
 
Wapenzi wa Tennis, kesho tunaanza US Open ... hela nje nje !
Natabiri washindi wafuatao ...

Novak Djokovic - kwa upande wa wanaume
Naomi Osaka - kwa upande wa wanawake.
Mzee mwenzagu usisahau kunitag aisee
 
Wapenzi wa Tennis, kesho tunaanza US Open ... hela nje nje !
Natabiri washindi wafuatao ...

Novak Djokovic - kwa upande wa wanaume
Naomi Osaka - kwa upande wa wanawake.
Mkuu anzisha channel telegram or whatsapp iwe rahisi kupata tips za teniss
 
Proof nyingine kama ni editing angalia transaction cost mzee baba, wakati ametumia 4000ksh charges ilikuwa 6Ksh, but alipotumiwa 50000Ksh charges ilikuwa 105Ksh hapa charges kwa mahesabu ya haraka yalikuwa zaidi ya 500Ksh!! ukitaka kuliwa mtumie hiyo pesa mzee baba baadaye ulete mrejesho
 
Sorry ni 61Ksh correction
 
Daaah!! Hii pesa niliiona nikaichangamkia fursa....kweli huu mchezo ukishakuwa addicted huwez kuacha isee thanks God another bang in pocket
Screenshot_2019-08-25-17-12-37.jpeg
Screenshot_2019-08-25-17-10-51.jpeg
 
Sawa mzee mwenzangu ... tutakwenda sawa. Kuna kokoro lipo betpawa nimelishare hapo juu, fanya kulicopy hata kwa buku linaweza kuitika.
Nimeliona hili kokolo mzee mwenzangu ngoja nilichungulie
 
Back
Top Bottom