Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Tatizo siyo stake. Rejea siku naweka humu historia yangu na Proffesor, siku naamua kumfuata kwenye kubet ndipo alianza kupoteza na akaamua kuwa kimya hadi leo.Sh mia tisa hamsini inakutia kizungu zungu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alileta game kama 3 nami kiukweli nikasaka mtaji kiasi ila sikupata mechi hata moja. Tatizo siyo stake tatizo kwanini nikiamua mambo yanaenda mrama.