Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naenda kupoteza 950 yangu kwa ujasiri kabisa nadiriki kusema Hiyo pesa imeniuma sana.

Natetemeka hapa nilipo, na sina hamu ya kula.
pole bro kaka i can feel ur pain coz ilishanitokeakaga
cha msingi jifunze kupitia hilo lililotokea

N.B bet what u can afford to loose
 
pole bro kaka i can feel ur pain coz ilishanitokeakaga
cha msingi jifunze kupitia hilo lililotokea

N.B bet what u can afford to loose
Kweli, tangu nimeanza kupotea pesa leo hii 950 imeniuma sana, nilibet kwa hisia sana. Japo niligoma kukopi mikeka ya watu ila wakati na-place bet nilijua ushindi wake utafanikisha lengo langu ambalo niliweka kwa usiku huu.

Chaliii.
 
950K au????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] labda zikuume odds mkuu...sio Mia tisa hamsini
 
Aiseee
IMG_20190825_203413.jpeg
 
Hii kazi ngumu sana sometimes,kanichania mkeka wa treni la gemu20,nimekosa 2 milions kwa stake ya 5000,huku jakport nimepata 9/13,kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.

Hvi jackport sportpesa kuna kachukua naona kama dau limeshuka??
 
Back
Top Bottom