Tumfuate huyu Spart Prague InPlay ... ameanza kufunguka shots on target ... atashinda hii game
View attachment 1189951
Daah Parimatch wameipiga block ... odds 6+ zimenipita
Hvi jackport sportpesa kuna kachukua naona kama dau limeshuka??
Nilifata mkuu imenipunguzia machungu ya utreach,, shukrani sana
Mechi ya Spart Prague kuna goli linanukia ... sio kwa mishots on target hiyo.
nimechelewaBOOOOOM ! WON ... limeshapatikana.
Weka tokeoBOOOOOM ! WON ... limeshapatikana.
Weka tokeo
Bonus zimeshuka lakini yenyewe imepanda ni milioni 800 na ushee now.
Naangalia game ya AS Roma vs Genoa ... kuna goli la tatu linakuja hapa in no time. First half over 2.5 itapendeza