koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Hii haieleweki kwa kweli siku hiziBarca ameshatekenywa mshenzi huyu ...
Hii haieleweki kwa kweli siku hiziBarca ameshatekenywa mshenzi huyu ...
Messi, Surez hawapoBarca ameshatekenywa mshenzi huyu ...
Huu ndo upuuzi waoHivi Hawa parimatch wanashida gani yaani nataka kutoa kapesa kangu wananiambia niingize detail za security? Mbona sku zingine wasiniambie hvyo au wakati nadeposit?
Hii kazi ngumu sana sometimes,kanichania mkeka wa treni la gemu20,nimekosa 2 milions kwa stake ya 5000,huku jakport nimepata 9/13,kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Inplay;
Sampdoria
Over 0.5FT
yatatokea ya tottenham hapaMessi, Surez hawapo
Mikeka yangu huwa nikishare huwa inachanika isee sijui kwann!!!
AS ROMA
LAZIO
ATLANTA
Zote over 2.5 goals....total 5+ odds gudluck watakaofuata!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Leo nimepigwa kipigo cha mbwa koko lakini nimepitia baadhi ya comment humu nimejikuta nacheka hadi maumivu yanaisha.
Pole Sana Mkuu, jackpot ulitoa mikeka mingapi