Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja waje wanaotumia hiyo kampuni watakufafanulia maana betting site ziko nyingi kila mtu anayo anayoikubali yeye kwahyo kuwa mpole wakija kampuni wenza watakufafanulia
Watu wa JF mna mazarau sana,nawaomba mnisaide mana kazi ya kuruka ombi langu mnaketa habar , jackpot nani anazihitaji sasa? Haya mazarau haya anagalieni
 
Wakikata kodi hapo inabaki mil370+
Sio poa washatoboa hao.

Screenshot_20190826-110910_Calculator.jpg


Screenshot_20190826-110900_Calculator.jpg


Hela sio zangu ila ngoja nipige pige tu hesabu za kiasi cha pesa watazoondoka nazo hawa jamaa wawili kama kodi ya Magufuri itakatwa kwa 18% au 20%.
 
Watu wa JF mna mazarau sana,nawaomba mnisaide mana kazi ya kuruka ombi langu mnaketa habar , jackpot nani anazihitaji sasa? Haya mazarau haya anagalieni
Mkuu hayo makampuni ya ajabu ajabu watumiaji wapo wachache mmno
Mtu hawezi kukujibu kwa kitu hajawahi tumia

Na kwanini umechagua hiyo kampuni labda?
 
Mpwa mm bado mgeni,nishauri nitumie kampuni gani
Mkuu hayo makampuni ya ajabu ajabu watumiaji wapo wachache mmno
Mtu hawezi kukujibu kwa kitu hajawahi tumia

Na kwanini umechagua hiyo kampuni labda?
 
Mpwa mm bado mgeni,nishauri nitumie kampuni gani
Anzia na Betpawa. Web yao iko vizuri inaeleweka sana hasa kwa wanaojifunza Kubeti. Hata kwenye malipo wapo vizuri. Hata ushinde Milioni 10 mzigo unaingia kimyakimya hawana usumbufu wa kudai kitambulisho au kukuita ofisini eti upige nao picha kama Sportpesa wafanyavyo.
 
*_POWER OF TWO ND THREE GOALS_*


*_Booking Number:Z58N8STM_*

Code 1085 Date 26/08/2019 11:00
Event Seoul City Wfc - Changnyeong Wfc
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

Code 2191 Date 26/08/2019 11:00
Event Gumi Sportstoto - Gyeongju FC
Live/Prematch Prematch Selection Over1.5

Code 2204 Date 26/08/2019 11:00
Event Boeun Sangmu Wfc - Hyundai Steel
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

*_2.47odd_*


*_Malaysia Money💰_*
 
Hela ya kubet hata kuifanyia biashara ni ngumu sana, mana betting haitofautiani na mtu aliye machimboni,anaweza ktumia mda wake mwingi kuitafuta hela. Siku akiipata hela anasahau shida kabsa, anamaliza pesa zote mwisho wa siku unamkuta shimoni tena, na mtu anae beti alishazoea kupoteza si kama mfanya biasara anaekusanya hela kwa vipimo vya vi baba vya mafuta.pia kamari ni tabia, kuna mtu hawezi kulala bila mkeka,

Tena wapo wale wa jero jero kwenye mashine huko ndo balaa, ukiingi kwenye maofis ya betting utazani umeingia jehanam, joto kali ila watu wamo tu, hao bila mkeka kwa siku hapati usingizi, na wanabahati vibaya pamoja na matreni yao.
Huu mchezo usivyo na adabu utakuta nusu ya hiyo hela inaishia tena kwenye kubet.
 
Back
Top Bottom