Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kujuzwa kampuni ya betting kwa tanzania ambayo unaweza Deposit bila makato,ukiacha Betpawa (through tigopesa)
 
Shukrani
Anzia na Betpawa. Web yao iko vizuri inaeleweka sana hasa kwa wanaojifunza Kubeti. Hata kwenye malipo wapo vizuri. Hata ushinde Milioni 10 mzigo unaingia kimyakimya hawana usumbufu wa kudai kitambulisho au kukuita ofisini eti upige nao picha kama Sportpesa wafanyavyo.
 
Mkuu hayo makampuni ya ajabu ajabu watumiaji wapo wachache mmno
Mtu hawezi kukujibu kwa kitu hajawahi tumia

Na kwanini umechagua hiyo kampuni labda?
Mkuu playa master sio kampuni ya ajabu hata kidogo.

Inaweza kuwa ndio kampuni inaongoza kwa kuwa na option nyingi. Tanzania akifukuzana na meridian na galsport.

Hakuna longo longo kwenye kuweka na kutoa hela hata chembe.

Wana cash out pia
Slip ikiwa na match kuanzia tano na odd zikiwa kuanzia 1.35 kwa kila game unarudishiwa stake yako.
 
Wale wasio na haraka na pesa tuwekeze kwenye hili kokoro (Tennis mixer Football), majibu tutayapata J'4

I can win ***K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-4998650b3


waFootball wamenipa greenlight ... tunaanza maombi ya Tennis sasa kuanzia saa 12 jioni. Majibu ni kesho asbh. Fingers Crossed.


1566823319987.png
 
Wakuu toto jackpot 1xbet dau limefika 1 billion Tsh.

Nimejaribu kuload pesa kwa mpesa MasterCard ngoma imebuma.

Yamebaki masaa mawili tu aisee.

Msaada tafadhali.
 
Hyo toto jackpot ya 1xbet unaweza ukacheza bure sio lazma uwe na pesa kwenye account lakin ukushinda hata game tatu cjui wanaziokotea wap hzo timu
Zipo tofauti
Kuna 1xtoto hii ni bure kubet, lakini ili bet yako iwe approved inabidi ubeti kawaida mkeka au single yenye odd kuanzia 1.3 na stake kuanzia usd 2
Na ukishinda unapewa point ambazo unabidi uzibet ili ziwe real money

Halafu kuna toto zingine sasa hizo ndio zinafika hadi bilioni tsh kama pesa
 
Back
Top Bottom