chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,013
Mkuu hv haiwezekan niweke hela mpesa master card halafu niitume account ya Skrill?
Mpesa Mastercard ni kwa ajili ya manunuzi tu
Mpesa Mastercard ni kwa ajili ya manunuzi tu
Mkuu hv haiwezekan niweke hela mpesa master card halafu niitume account ya Skrill?
Tatizo sio kodi mkuu, mbona zipo kampuni hazikati kodiPoleni sana wapenzi wa 1xbet, ilaumuni serikali kwa kuizuia isiwe inatumia njia za mobile money kama payment methods kwa hapa nchini, eti kisa hawakati kodi, Hahahahahahaaa!! Lakni kwa wajanja bado tunaitumia.
Mkuu tumia bitcoin haina shida kabisaMkuu hv haiwezekan niweke hela mpesa master card halafu niitume account ya Skrill?
odds 5 zinaweza kuwepo, ila za uhakika hakuna.Wakuu naombeni odds 5-8 uhakika
uhakika labda ukacheze wewe mwenyewe timu zote, na refa uwe wewe mwenyewe. Hakuna odd za uhakika asikudanganye mtu na wala asikuibie mtu. Kwenye mpira chochote chaweza kutokea . Hakuna timu inayoingia uwanjani ikitaka ikafungwe, kila timu inajiandaa kushinda bila kujali odd ndogo walizowekewa na kampuni za kubetiWakuu naombeni odds 5-8 uhakika
Selct hapo kwenye ordinary kisha bonyeza play betNaomba msaada kuweka hii bet,nimeweka buku inahang tu mkeka mbona hauendiView attachment 1190287
Masharti kama yapi mkuu?Tatizo sio kodi mkuu, mbona zipo kampuni hazikati kodi
Masharti yamewashinda
Mengi mkuu ikiwepoMasharti kama yapi mkuu?
NimekusomaMengi mkuu ikiwepo
Acc za kampuni ziwe hapa tz gawiwo la faida ndio liende Russia
Wafungue .co.tz
Hakuna deposit zisizo rasmi bongo kama pay pal, bitcoin nk, yaani ni mobile na bank card
Waendeshe kwa sheria za bongo na sio sheria zao za kampuni inaweza kufuta ushindi wakati wowote bila kutoa taarifa nk
Kodi walipe na malimbikizo waliokua nayo kabla
Nk nk
mbona hujabeti sasa mkuuEngland National League imetema over 2.5 za kutosha aisee
Maendeleo vipwaFootball wamenipa greenlight ... tunaanza maombi ya Tennis sasa kuanzia saa 12 jioni. Majibu ni kesho asbh. Fingers Crossed.
View attachment 1190455
Maendeleo vip