Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

AISEEEE..!
Screenshot_20190827-000647~2.jpeg
 
Nahama Parimatch kwa sababu hii ndogo.

Ukishinda mikeka yao hawaweki Green ile ya kukoza sana (mimi ile ndiyo mzuka wangu) au ile Red kaliii kama moto (unapo kosa) .
Sababu nyingine ni ucheleweshaji yaan mpaka usubir dk 90 ndo wanakuwekea win hata kama ulicheza 2+ zikatokea kipind cha kwanza hawakuwekei mpaka game liishe. Labda kwenye live ndio wanawah.
Ila mimi sihami ng'o
 
Ewaaa hilo pia mimi sipendi wanavyochelewa kuupdate matokeo.

Nahama.
 
Sababu nyingine ni ucheleweshaji yaan mpaka usubir dk 90 ndo wanakuwekea win hata kama ulicheza 2+ zikatokea kipind cha kwanza hawakuwekei mpaka game liishe. Labda kwenye live ndio wanawah.
Ila mimi sihami ng'o
Kampuni nyingi zina mapungufu tofauti ila 1Xbet is the best. Hawa jamaa kungekuwa na mobile payment wako vizuri mnoo. Wanakupa mpk matokeo live palepale kwenye mkeka huku mechi inaendelea.
 
Back
Top Bottom