Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

100% this is the best of all betting company kwa vingi including fastest Ness, options, platform design nk dah changamoto za mobile payments hizi acha tu [emoji22][emoji22]
Kampuni nyingi zina mapungufu tofauti ila 1Xbet is the best. Hawa jamaa kungekuwa na mobile payment wako vizuri mnoo. Wanakupa mpk matokeo live palepale kwenye mkeka huku mechi inaendelea.
 
Mdau hii app yenye kufanya analysis ni ipi hiyo.
Mzeeee hii app inaitwaje??
Bet analyser
Screenshot_20190827-104944.jpeg
 
Wadau nimepakua app ya parimatch naona wamesheheni options na wanatoa na bonus! Nauliza kuhusu malipo ni ya haraka pia baada tu ya mechi au kuna urasimu?.. Nataka kuwahama sportpesa!
 
Wadau nimepakua app ya parimatch naona wamesheheni options na wanatoa na bonus! Nauliza kuhusu malipo ni ya haraka pia baada tu ya mechi au kuna urasimu?.. Nataka kuwahama sportpesa!
Umepakua wap hyo app?gugo au?
 
Back
Top Bottom