Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Mdau hii app yenye kufanya analysis ni ipi hiyo.75% wakikutana huwa under 2View attachment 1190994
Kampuni nyingi zina mapungufu tofauti ila 1Xbet is the best. Hawa jamaa kungekuwa na mobile payment wako vizuri mnoo. Wanakupa mpk matokeo live palepale kwenye mkeka huku mechi inaendelea.
Mzeeee hii app inaitwaje??75% wakikutana huwa under 2View attachment 1190994
Kumbe hii mijinga Dundalk imetuaribia wengi.. Imepata goli tatu kipindi cha kwanza l, ikashindwa hata kupata goli moja kipindi cha pili!Oneni hiyo green na red inavyovutia aiseee [emoji39][emoji39]View attachment 1190959
Bet analyser mkuuMzeeee hii app inaitwaje??
Mdau hii app yenye kufanya analysis ni ipi hiyo.
Bet analyserMzeeee hii app inaitwaje??
[emoji817] [emoji817]Bet analyserView attachment 1191025
Dah ilinisonosesha sana hii game.Kumbe hii mijinga Dundalk imetuaribia wengi.. Imepata goli tatu kipindi cha kwanza l, ikashindwa hata kupata goli moja kipindi cha pili!
Treni hilo refu balaa sijawahi kushinda kwa matreni mara nyingi ni kupoteza tu.Huu upumbavu nilishaachaga KITAMBOOOO SANAAAA
Upumbavu gani mkuuHuu upumbavu nilishaachaga KITAMBOOOO SANAAAA
Bet analyserView attachment 1191025
Chomeka simu kwenye chaji,unaua CPU
Umepakua wap hyo app?gugo au?Wadau nimepakua app ya parimatch naona wamesheheni options na wanatoa na bonus! Nauliza kuhusu malipo ni ya haraka pia baada tu ya mechi au kuna urasimu?.. Nataka kuwahama sportpesa!
[emoji3][emoji3] 10 za uhakika?naombeni odds 10 za uhakika..nijilipue
Ana utani na maisha uyu[emoji3][emoji3] 10 za uhakika?