Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni kweli jaribu kutoa kuja bank kama inawezekana. Maana mimi nishawahi tumia kadi visa Kupitia NBC. Kutoa iligoma kabisa.
 
Vitu vingine ulizeni wenyeji wewe ulitumia debit card sio prepaid card
Mkuu ile ngoma ya bank ABC ya kununulia vitu mitandaoni ambayo acc no ni namba ya kadi inakubali kutolea? maana nimeijaribu ku deposity ni fasta kama umeme ila sijafanikiwa kula ili nijue kama inakubali kutoa
 
Mkuu hiyo 15,000 itakatwa tu, usijisahau
 
Na Mchawi wa leo UEFA Europa league ni Appolon limassol vs PSV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…