mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Wooooon
nimemchapa nataka nichukue mpunga wangu naona ananiletea nguluwanjedah kila mtu aisee hasa website ila kwe app wanasema iko poa
Ajali kazini,aamke aendeleze mapambano. Halafu unapoamua kujilipua tafuta option na mechi ambazo possibility ni 99%. Usijilipue tu ili mradi. Mm angenipa hiyo Leo ningekuwa nimeidouble. Aiseee.Huyu tunamsaidia je apate usingizi leo?View attachment 1193063
OhoooHuyu tunamsaidia je apate usingizi leo?View attachment 1193063
Mchomoa betri [emoji2] [emoji2]Kwani huwa mnakutana jukwaa gani tena huko, mbona hatukaribishwi?
Kama ni app hata kwangu inazinguaWadau parimatch ina tatzo kwangu au kewa kila mtu
Naomba nkutumie Niliyo nayoKama ni app hata kwangu inazingua
Kipigo cha Jana naona wamekimbia hadi kwangu siwapatiDah inazingua ile mbaya hata Mimi nimedownload Mara tatu lakini wapi parimatch wanazingua sana
Atakuwa anasweat kinoma huko alikoHuyu tunamsaidia je apate usingizi leo?View attachment 1193063
TRENI YA UMEME, SAFARI INAANZA KESHO
Barca win
Atleti win
PSG win
Besiktas win
Basel win
Chelsea ov 1.5
City ov 1.5
Clubbrugge ov1.5
Inter ov 1.5
Bayern ov 1.5
Dortmund ov 1.5
Rangers ov 0.5
Fc Oss ov 0.5
waasland Beveren ov 1.5
Anderletch ov 0.5
Odds 23.7
GOOD Luck
Sijui alifikiria Nini,Mimi hua naweka stake kubwa10k mwisho natena hiyo imezaliswa kwa beti niliyoshinda nakua nasubiri 400k point,nadhani hatorudia ilo kosa tenaAtakuwa anasweat kinoma huko aliko
Huyu tunamsaidia je apate usingizi leo?View attachment 1193063
Hio 2mill aliyotembea nayo kanji sio poa kabisa, always risk what u can afford
Betting ni kurisk pesa, either inaweza kurud au isirud, unavobet pesa ya kiwanja sijui unategemea nn
[emoji23]ndo ile game inaisha unapelekwa hospital na drip juu,
Mim huwa nabet kama masiala, yaan nikipoteza hainiadhir chochote kesho naendelea na kazi zangu kawaida, nikiwin basi Mungu anakuwa amesaidia
Siwezi nikabet afu nikaanza kutetema, kana kwamba mim ndio nacheza uwanjan nifunge hizo gor,
Jmn betin kwa kurelax sanaa, yaani ukipoteza unakuwa normal ukiloose unakuwa normal, ili kufikia hii hatua usije kubetia pesa ambayo ipo kwenye matumiz,
Pesa za kubetia n hiz,
Ulikuwa unahela haina kaz unataka kuhonga malaya,
Ulitaka kuweka heshima bar, na nyama choma, sasa ukaona poa ngonja nikamjaribu kanj,
Pesa yeyote unayohisi haitakuadhir pind inapopotea hio ndio ya kubetia,
Sasa watu n pale unapochukua hela ya mtaji et unabet, au pesa ya mboga, au ada ya shule, au pesa ya vikoba lazima tukuokotee hospital tu
[emoji23][emoji23]hakuna namna,
Kwann nimeogopa kutia mzigo
Nxt day am not regreatView attachment 1193060