Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*MCHEZO WA VOLLEYBALL*
Volleyball ni mchezo wenye set 5. Ikitokea team moja imemfunga mwenzake set ya 1, ya 2 na ya 3, basi wanaishia hapo hapo. Ikitokea team imemfunga mwenzake set ya 1, ya pili halafu ya tatu akashinda mwingine, basi wataenda set ya nne. Set ya nne akishinda tena mwingine na sio Yule aliyeshinda set ya 1 na ya 2 basi matokeo yake ni team A kashinda set mbili na team B kashinda set mbili, hapo wataenda set ya tano ili kumpata mshindi ambaye atashinda game nzima.

*TABIA ZA SET YA 1, 2, 3 NA 4*
Set hizo zinafanana tabia. Mshindi anapatikana endapo atafika point 25 kumzidi mpinzani wake lakini lazima awe amemzidi mpinzani kwa point mbili. Mfano 25 kwa 23, 25 kwa 22. Lakini ikitokea team A na B zote zimefika 24 kwa 24, basi set hiyo itaendelea hadi watakapoachana point mbili, mfano kuna wanaoishia 28 kwa 30.

*TABIA YA SET YA 5*
Set hii mshindi anapatinakana kwa kufikisha point 15 na mpinzani azidiwe kwa point mbili kama kawaida. Mfano 15 kwa 13 au 15 kwa 12. Ikitokea team A na B zote zikafika 14 kwa 14, basi set itaendelea hadi waje watofautiane kwa point mbili, kuna team zinakuja kuishia 20 kwa 18.

*KWA KUONGEZEA NI KWAMBA*
Kwenye volleyball Yule anayesevu lazima afungwe hiyo point kwa sababu hana uwezo wa kupiga smash, mwenye uwezo wa kupiga smash ni Yule ambaye amepokea mpira na amemtengea mwenzake apige kwa nguvu ule mpira kwenda kwa team pinzani.

*JINSI YA KUBET VOLLEYBAL*
Volleyball huwa tunabet ikiwa live inachezwa, ukiona toka mwanzo wanatofautina point nyingi, basi unaangalia uwezo wa Yule aliyepitwa na unaenda kwenye total point za set husika unaweka Under. Na kama wanafukuzana sana basi unaenda kuweka over. Unajichagulia mwenyewe uweke over ngapi au under ngapi, lakini odd salama ni kuanzia 1.5 kushuka.
Pia unaweza kubet kwa kumtabiri mshindi wa set, Yule anayeongoza set hata kwa point mbili, mara nyingi huwa anashinda set husika, mfano unakuta team A ana 16, team B ana 14, hapo uwezekano wa team A kushinda ni mkubwa ila inabidi uwe umewasoma toka wanaanza set husika.

🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂
 
All is Well......
Screenshot_20190830-122429_WhatsApp.jpeg

Odds 6 * 10000 = 60000

Ijumaa tulivu
 
Leo ...

Football
----------
Bologna FC/SPAL 2013 - Over 1.5 (1.37)
Korona Kielce/Jagiellonia - Over 1.5 (1.27)
FC Emmen/PEC Zwolle - Over 1.5 (1.23)
TSV 1860 Rosenheim/SV Schalding - Over 2.5 (1.5)
-----------
Total Odds 3.21
 
Volleyball no nzuri
*MCHEZO WA VOLLEYBALL*
Volleyball ni mchezo wenye set 5. Ikitokea team moja imemfunga mwenzake set ya 1, ya 2 na ya 3, basi wanaishia hapo hapo. Ikitokea team imemfunga mwenzake set ya 1, ya pili halafu ya tatu akashinda mwingine, basi wataenda set ya nne. Set ya nne akishinda tena mwingine na sio Yule aliyeshinda set ya 1 na ya 2 basi matokeo yake ni team A kashinda set mbili na team B kashinda set mbili, hapo wataenda set ya tano ili kumpata mshindi ambaye atashinda game nzima.

*TABIA ZA SET YA 1, 2, 3 NA 4*
Set hizo zinafanana tabia. Mshindi anapatikana endapo atafika point 25 kumzidi mpinzani wake lakini lazima awe amemzidi mpinzani kwa point mbili. Mfano 25 kwa 23, 25 kwa 22. Lakini ikitokea team A na B zote zimefika 24 kwa 24, basi set hiyo itaendelea hadi watakapoachana point mbili, mfano kuna wanaoishia 28 kwa 30.

*TABIA YA SET YA 5*
Set hii mshindi anapatinakana kwa kufikisha point 15 na mpinzani azidiwe kwa point mbili kama kawaida. Mfano 15 kwa 13 au 15 kwa 12. Ikitokea team A na B zote zikafika 14 kwa 14, basi set itaendelea hadi waje watofautiane kwa point mbili, kuna team zinakuja kuishia 20 kwa 18.

*KWA KUONGEZEA NI KWAMBA*
Kwenye volleyball Yule anayesevu lazima afungwe hiyo point kwa sababu hana uwezo wa kupiga smash, mwenye uwezo wa kupiga smash ni Yule ambaye amepokea mpira na amemtengea mwenzake apige kwa nguvu ule mpira kwenda kwa team pinzani.

*JINSI YA KUBET VOLLEYBAL*
Volleyball huwa tunabet ikiwa live inachezwa, ukiona toka mwanzo wanatofautina point nyingi, basi unaangalia uwezo wa Yule aliyepitwa na unaenda kwenye total point za set husika unaweka Under. Na kama wanafukuzana sana basi unaenda kuweka over. Unajichagulia mwenyewe uweke over ngapi au under ngapi, lakini odd salama ni kuanzia 1.5 kushuka.
Pia unaweza kubet kwa kumtabiri mshindi wa set, Yule anayeongoza set hata kwa point mbili, mara nyingi huwa anashinda set husika, mfano unakuta team A ana 16, team B ana 14, hapo uwezekano wa team A kushinda ni mkubwa ila inabidi uwe umewasoma toka wanaanza set husika.

🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️🧘🏾‍♂️
Volleyball ni moja ya michezo rahisi sana kama ukikaa na kutuliza akili unaweza kupiga hela Sana..mim huwa nabeti live navizia kwanza seti ya kwanza inamalizika afu ile ya PILI ndo naiibukia coz tayari nakuwa nishausoma mchezo unavyoenda..mfano labda set ya kwanza zilitoka point 45..hivyo hivyo hata set ya pili lazima zitoke 45 au zaidi japo zinaweza kuwa pungufu lakin huwa ni nadra sana kutokea
 
Back
Top Bottom