Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hio 2mill aliyotembea nayo kanji sio poa kabisa, always risk what u can afford

Betting ni kurisk pesa, either inaweza kurud au isirud, unavobet pesa ya kiwanja sijui unategemea nn
[emoji23]ndo ile game inaisha unapelekwa hospital na drip juu,

Mim huwa nabet kama masiala, yaan nikipoteza hainiadhir chochote kesho naendelea na kazi zangu kawaida, nikiwin basi Mungu anakuwa amesaidia

Siwezi nikabet afu nikaanza kutetema, kana kwamba mim ndio nacheza uwanjan nifunge hizo gor,


Jmn betin kwa kurelax sanaa, yaani ukipoteza unakuwa normal ukiloose unakuwa normal, ili kufikia hii hatua usije kubetia pesa ambayo ipo kwenye matumiz,

Pesa za kubetia n hiz,

Ulikuwa unahela haina kaz unataka kuhonga malaya,

Ulitaka kuweka heshima bar, na nyama choma, sasa ukaona poa ngonja nikamjaribu kanj,

Pesa yeyote unayohisi haitakuadhir pind inapopotea hio ndio ya kubetia,

Sasa watu n pale unapochukua hela ya mtaji et unabet, au pesa ya mboga, au ada ya shule, au pesa ya vikoba lazima tukuokotee hospital tu
[emoji23][emoji23]hakuna namna,
Ni kweli kaka ,mim kipind nipo chuo nilikuwa nabeti sana but sikugusa hela ya ada miaka yote,huwa nabetia hela isiyonakazi tu
 
Mchawi nan Hapa nataka nitie pesa ndefu..
Screenshot_20190830-113748.jpeg
 
Bora angempa celtic ilikuwa na 2.4 atie hio milioni mbili na nusu h
Jana
 
Volleyball no nzuri

Volleyball ni moja ya michezo rahisi sana kama ukikaa na kutuliza akili unaweza kupiga hela Sana..mim huwa nabeti live navizia kwanza seti ya kwanza inamalizika afu ile ya PILI ndo naiibukia coz tayari nakuwa nishausoma mchezo unavyoenda..mfano labda set ya kwanza zilitoka point 45..hivyo hivyo hata set ya pili lazima zitoke 45 au zaidi japo zinaweza kuwa pungufu lakin huwa ni nadra sana kutokea
Nimeingia field na ni kweli nimeona kuna urahisi kwa kiasi fulani
_20190830_145417.JPG

*MCHEZO WA VOLLEYBALL*
Volleyball ni mchezo wenye set 5. Ikitokea team moja imemfunga mwenzake set ya 1, ya 2 na ya 3, basi wanaishia hapo hapo. Ikitokea team imemfunga mwenzake set ya 1, ya pili halafu ya tatu akashinda mwingine, basi wataenda set ya nne. Set ya nne akishinda tena mwingine na sio Yule aliyeshinda set ya 1 na ya 2 basi matokeo yake ni team A kashinda set mbili na team B kashinda set mbili, hapo wataenda set ya tano ili kumpata mshindi ambaye atashinda game nzima.

*TABIA ZA SET YA 1, 2, 3 NA 4*
Set hizo zinafanana tabia. Mshindi anapatikana endapo atafika point 25 kumzidi mpinzani wake lakini lazima awe amemzidi mpinzani kwa point mbili. Mfano 25 kwa 23, 25 kwa 22. Lakini ikitokea team A na B zote zimefika 24 kwa 24, basi set hiyo itaendelea hadi watakapoachana point mbili, mfano kuna wanaoishia 28 kwa 30.

*TABIA YA SET YA 5*
Set hii mshindi anapatinakana kwa kufikisha point 15 na mpinzani azidiwe kwa point mbili kama kawaida. Mfano 15 kwa 13 au 15 kwa 12. Ikitokea team A na B zote zikafika 14 kwa 14, basi set itaendelea hadi waje watofautiane kwa point mbili, kuna team zinakuja kuishia 20 kwa 18.

*KWA KUONGEZEA NI KWAMBA*
Kwenye volleyball Yule anayesevu lazima afungwe hiyo point kwa sababu hana uwezo wa kupiga smash, mwenye uwezo wa kupiga smash ni Yule ambaye amepokea mpira na amemtengea mwenzake apige kwa nguvu ule mpira kwenda kwa team pinzani.

*JINSI YA KUBET VOLLEYBAL*
Volleyball huwa tunabet ikiwa live inachezwa, ukiona toka mwanzo wanatofautina point nyingi, basi unaangalia uwezo wa Yule aliyepitwa na unaenda kwenye total point za set husika unaweka Under. Na kama wanafukuzana sana basi unaenda kuweka over. Unajichagulia mwenyewe uweke over ngapi au under ngapi, lakini odd salama ni kuanzia 1.5 kushuka.
Pia unaweza kubet kwa kumtabiri mshindi wa set, Yule anayeongoza set hata kwa point mbili, mara nyingi huwa anashinda set husika, mfano unakuta team A ana 16, team B ana 14, hapo uwezekano wa team A kushinda ni mkubwa ila inabidi uwe umewasoma toka wanaanza set husika.

🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂🧘🏾‍♂
 
UONGO HUU HIZO ODD HATA MBILI HAZIFIK ALAFU MNASEMA ODD 50 UKICHEK PICHA VIZUR UTAONA NAMNA WALIVYO EDIT CHUKUA IYO PICHA ZOOM UTAONA WALIVYO JICHANGANYA KUTUDANGANYA. SISI SIO WATTO WADOGO
Mkuu ni kwel, sema kuna timu nyingine juu, huko sio hizo tu, inaonekana ni treni katengeneza ila kaweka mkwanja mtefu isee 500k
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ulitumia debit card sio prepaid card
Ndio maana sasa nimemefungua hiyo ya ABC (cash card) nadhani itanifaa, nasubiri tuu msimu wa basketball uanze maana ndio michezo yangu na makorokocho mbalimbali siwezi kucheza mamipira ya miguu jitu dakika 90 linashindwa kupata hata goli moja
 
Kitchee yuko uwanjani. Unatia over 3.5 halafu unasubiria hapo hapo kwenye kibanda cha mpesa
 
Leo ...

Football
-------------
Real Zaragoza/Elche CF
FC Voluntari/U Craiova 1948 CS
FC Krylia Sovetov Samara/FC Dinamo Moscow
Moreirense FC/Portimonense SC
Sevilla FC/Celta Vigo

Multigoals 1-3
-------------------- --
Total Odds 5.27

Ngoja nikajaribu haka kaoption leo. Hao wote mechi iishe na magoli 1 - 3.
 
Back
Top Bottom