Lengo ni nin yan...maana kila kitu kina lengo.Angalia thread ile niliyoanzisha maalumu kwa link za michezo, kila siku nimekua nikituma humu, ila kwa whatsapp ni rahisi, so si kwa ajili ya betting tu bali na link za kila gem
So kwa urahisi join wale wa kuongalia mechi online
![]()
Maana dah,mambo ni meng mda ni mchache
Kila mtu anatafta kona ya kutokea,kanji kashakua mgum sana nin