Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,305
- 1,567
Mkongwe tupia na option za helaKesho asubuhi kuna mechi saa
4 na nusu asubuhi
5 kamili asubuhi na 2 za
5 na nusu asubuhi.
Zitakuwepo mechi 4 asubuhi
Mchana 2
Leo mchana zipo 2
Changamkieni fursa mimi nauweka mpira pembeni kwa muda hadi fiba ikiisha tarehe 17