Lengo ni nin yan...maana kila kitu kina lengo.Angalia thread ile niliyoanzisha maalumu kwa link za michezo, kila siku nimekua nikituma humu, ila kwa whatsapp ni rahisi, so si kwa ajili ya betting tu bali na link za kila gem
So kwa urahisi join wale wa kuongalia mechi online
umetumwa na nani,kuna mtu humu ashakuomba hela ya kuweka mkeka,ase pita huko bana,na humu umeingiaje,kila mtu anajua anakopata hela ya kubetALWAYS WAJINGA NDIO WALIWAO!
SIJAWAH NA SITAWAHI KUBET.
Kuna mtu analizwa sasahiv.DRW OF THE DAY
NEWCASTLE
AMIENS
NANTES
UFA
PLAY SINGLE
FiBA ndio nn mzeeJamani eeeh FIBA ina hela sana asubuhi nilipata odds 11 na zimetick zote
Yah tupo pamoja,Russi aliondoka na 15 yangu ila nimeirudisha kwenye inplayKesho asubuhi kuna mechi saa
4 na nusu asubuhi
5 kamili asubuhi na 2 za
5 na nusu asubuhi.
Zitakuwepo mechi 4 asubuhi
Mchana 2
Leo mchana zipo 2
Changamkieni fursa mimi nauweka mpira pembeni kwa muda hadi fiba ikiisha tarehe 17
Nipo tayari kwa wakala [emoji2][emoji2]World cup ticket yangu hii hapaView attachment 1193834
Mimi natumia 1xbet nyingine sina nazo uzoefuKampuni gani ni nzuri kwa kubet volleyball kiongozi
Sure aisee jana usiku si nilitank nipte na odds kumi kwa 10 nikaghair leo asubui naziangalia zote waya dah looh imeniuma sana aiseeJamani eeeh FIBA ina hela sana asubuhi nilipata odds 11 na zimetick zote
Siku zite ukibeti kichwani unashinda weka salio ushangae ya mkulima kukamata ndegeSure aisee jana usiku si nilitank nipte na odds kumi kwa 10 nikaghair leo asubui naziangalia zote waya dah looh imeniuma sana aisee
Betting is not for everyoneALWAYS WAJINGA NDIO WALIWAO!
SIJAWAH NA SITAWAHI KUBET.
Kila nikijiunga inakataaaAngalia thread ile niliyoanzisha maalumu kwa link za michezo, kila siku nimekua nikituma humu, ila kwa whatsapp ni rahisi, so si kwa ajili ya betting tu bali na link za kila gem
So kwa urahisi join wale wa kuongalia mechi online