Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu acha tu nilirestart simu hadi nikachoka kumbe walikua wamebana pumbavu hao

Siku zote hawa MERIDIAN huwa wanabana sana sisi tunaobet Online. Wanawajali sana wale wanaokwenda kwenye Viji-ofisi vyao
 
Muda huu account za wabetishaji zinatuna tu kwa mikwanja ya wazee wa direct win.
 
Mkuu acha tu nilirestart simu hadi nikachoka kumbe walikua wamebana pumbavu hao
Ni wahuni sana..game zimeisha tu wakauachia mtandao.

Hata ofisi zao hazipo kila eneo kama lengo lao ni watu watumie zaidi ofis zao kuliko online betting.
 
Back
Top Bottom