Dortmund kashachomoa betri huko
Umeona mechi ya liverpool?Hiyo ni nzuri sana ukiizoea. yenyewe unapoichagua, inafuta matokeo ya nyuma, unaanzia pale ulipobeti hiyo mechi husika
Tayari kitamboVery soon barca atawavaa kabisa
Wamesepa na 21000 yang [emoji26][emoji26][emoji26]Man U, Chelsea, Dortmund na Barcelona leo wameua wengi
Na LyonMan U, Chelsea, Dortmund na Barcelona leo wameua wengi
Huyo leo kazingua sana aise, Mimi yote kumi Barca 1st half kakosa GG kaondoka na 65,000 yangu...Leo napumzikaa mpaka keshoo hali sio nzurii.... Red zimetawalaa
Keshoo nianze upyaa tena
Kinachoniuma ni manure kukosa kona 4
Akasepa na 60k yangu
Ubatizo waleooo.WA.moto.na asalii.MPWAA balaaaAsante FC Zilina kwa kukamilisha kifuta machozi. Maana Barca alinibatiza kwa moto leo mamaee.
View attachment 1194493
Ubatizo waleooo.WA.moto.na asalii.MPWAA balaaa
Chelsea kachafua anga dakika ya 89 na kuongoza koteMkeka wa laki mbili chelsea win ,barca win ,Dortmund win,hii inaitwa totol defeat
MJARIBU NA CORNEE HUYU NAE KICHEFU CHEFU MBINUKOONISMHuyo ****** leo kazingua sana aise, Mimi yote kumi Barca 1st half kakosa GG kaondoka na 65,000 yangu...
Hapa navia game ya juventus nijilipue over 0.5 1st Half tuone hali itakuaje ndio nilale...
MKUUUU HUWA NAJIULIZAGA MERIDIAN WANAOGOPAGA NN WEEKENDS SHIDA ZA MTANDAO WAKATI WENZAO NDIO MIDA YA KUKUSANYA GAWIO LA WIKI NZIMA ALILOLUTPA N SHIDA TUHatari sn Chief ... weekends sijui huwa zina nini aiseee !!! yani lazima atatokea mkuda tu. Bora silali na hasara leo, japo kafaida ka 40K. Si haba.